Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

Mstaafu amejikanganya mno ila simuhukuku kwa maana sikuona mahala ameandika au amekusudia kufanya vile.

Kwa mfano mimi najua Rais anapoingia madarakani ni moja kwa moja anaanza kutekeleza ilani ya chama bila kuzingatia ni awamu ipi.

Lakini mstaafu anakwambia ukiachana na awamu ya kwanza,ile awamu ya pili ndiyo ya kufanya kazi ili kuacha legacy.
sasa ina maana mambo yote aliyofanya magu awamu yake ya kwanza kwake haoni kama ni ya kuacha legacy na ndio maana hakuweza hata kuyagusia katika hotuba yake.
 
Hii inanikumbusha miaka niko form four. Nilimsaidia sana kijana mmoja kuwa Raisi wa serikali ya wanafunzi shuleni. Baadaye akanigeuka. Kwa kawaida wanafunzi huvaa mashati ya mikono mifupi isipokuwa viongozi na wastaafu. For one reason or another na mimi nilikuwa navaa shati la mikono mirefu. Sasa huyu president niliyemuweka madarakani akawa amepanga kulikata mikono shati langu mbele ya halaiki. Na mimi nilishtukia mchezo kwa kuondoka assemble na kwenda kubadili bwenini. Alinitafuta sana pale assemble ili atimize nia yake ovu ila hakunipata. Kijana huyu nilikuja kumpokea tena akiwa form five na mimi nikiwa form six pale Mzumbe sec na nilimsaidia kwa hali na mali mpaka alipokuwa mwenyeji.
Kiazi wewe
 
Hukuelewa logic ya alichosema Jk kwa kuwa umewekeza kwny kumkosoa

Alisema Ukiingia madarakani Awamu ya Kwanza ya Miaka mitano ni ya kufanya Mambo ili uweze kuchaguliwa tena lakin ukirudi awamu ya pili kwa kuwa ndio ya Lala salama hapo unafanya mambo yale ya kukuachia Legacy…

hapo alikuwa akisifia Utendaji wa JPM kwny awamu ya pili ya JK 2010-2015 kwa kuwa kwa nafasi yake ya Uwaziri wa Ujenzi aliwezesha kuunganisha Mikoa yote kwa mtandao wa barabara kasoro Kigoma-Katavi na Arusha pamoja na Mara

Sasa kama wewe ambaye siyo kapuku, ungekuwa na la kufanya! ungekuwa na muda kweli wa kuandika huu upupu wako hapa? Hivi kazi ya mitandao nini? Yaani unataka uwapangie watu cha kusema/kujadili! Wewe kama nani hasa?

Mmiliki mwenyewe tu wa JF humuoni akitokwa na mapovu humu! Ila wewe ambaye hata hujulikani unamiliki nini, unakuja kuwapangia watu humu cha kufanya! Jitahidi kuficha hisia zako! Maana kuna baadhi ya wadau wanaweza kukuchukulia kama una ulemavu wa akili.
Hii spana kali sana harudii tena....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukuelewa logic ya alichosema Jk kwa kuwa umewekeza kwny kumkosoa

Alisema Ukiingia madarakani Awamu ya Kwanza ya Miaka mitano ni ya kufanya Mambo ili uweze kuchaguliwa tena lakin ukirudi awamu ya pili kwa kuwa ndio ya Lala salama hapo unafanya mambo yale ya kukuachia Legacy…

hapo alikuwa akisifia Utendaji wa JPM kwny awamu ya pili ya JK 2010-2015 kwa kuwa kwa nafasi yake ya Uwaziri wa Ujenzi aliwezesha kuunganisha Mikoa yote kwa mtandao wa barabara kasoro Kigoma-Katavi na Arusha pamoja na Mara
Asante kwa kunisahihisha,ila sasa naomba uniambie utekelezaji wa ilani nao upo kwenye mgawanyiko huo,pia kwa Magu ilibidi afanye lipi kwa awamu ya pili kuacha legacy??
 
Jk simuamini saaaana,yaani akiongea huwa napata ukakasi katika matamshi take,yaani ni kama mtu fulani mwenye mambo mambo fulani
 
Jk simuamini saaaana,yaani akiongea huwa napata ukakasi katika matamshi take,yaani ni kama mtu fulani mwenye mambo mambo fulani
Yule ni mswahili wa Pwani! Hivyo ni kawaida sana kukutana na hayo mambo mambo fulani katika hotuba zake.
 
JK ni Mswahili kama Waswahili wengine tu wa Pwani. Kuna sehemu alisema JPM alikuwa akimshtaki kwa kaka yake (JK) mara zote alipo mkwaza!! Mara alimpenda sana!! 😇
Acheni unafiki nyie huko makazini hamgombani au hamkwazi na mabosi zenu? Kama mke na mume wanagombana MTU na mamake wanakwazana itakua MTU na bosi?yeye The late mzee alikuwa MTU asiyeogopa boss utani kama wote kwa boss na alikuwa akikwaza na boss anachoma kwa kaka wa boss sasa cha ajabu nn?
 
Ukiona Ukikwazana na Bosi wako halafu unaenda kumshtaki kwa Kaka yake basi tambua nyie ni maswahiba sana

JK na ujanja wake wote alikuwa mpole kwa Kaka yake, alikuwa anaweza kumuita Msoga asubuhi akamwambia ufike kabla ya Magharibi na Jk habishi

Jk aliwahi kukataa posa ya binti yake kwa kuwa muoaji alimuona kama hajatulia vile…Binti akamshauri Jamaa yake aende kwa Mzee Seleman…Jk aliitwa Msoga mara moja na ving'ora vyake …kufika akaambiwa …kaa Mkekani tupokee Posa ya Binti yetu…akaishiwa Pozi

Kaka yake Mwingine anaitwa Mohamed huyu walikuwa wanabishana kama Masela kijiweni bila ya kujali anaebishana nae ni Amiri jeshi
JK ni Mswahili kama Waswahili wengine tu wa Pwani. Kuna sehemu alisema JPM alikuwa akimshtaki kwa kaka yake (JK) mara zote alipo mkwaza!! Mara alimpenda sana!! [emoji56]
 
Acheni unafiki nyie huko makazini hamgombani au hamkwazi na mabosi zenu? Kama mke na mume wanagombana MTU na mamake wanakwazana itakua MTU na bosi?yeye The late mzee alikuwa MTU asiyeogopa boss utani kama wote kwa boss na alikuwa akikwaza na boss anachoma kwa kaka wa boss sasa cha ajabu nn?
Inahitajika uwe na akili sana kufahamu nilicho kiandika. Bahati nzuri wenye akili zao wamenielewa. Ila nyinyi wachache mmeishia tu kutokwa na mapovu.
 
Hayati ndiye chanzo cha chuki hiyo baada ya kuchaguliwa akawa hachagui maneno ya kutamka jukwaani dhidi ya utawala wa JK na pia hayati aliwinda marafiki na miradi ya member wote waitwao TEAM JK akawaumiza sana na mission yake ya UA MAFISADI ililenga TEAM JK hapo ndipo chuki ikatamalaki na hapo hapo kikaundwa ki KIPULIZA FILIMBI KIITWACHO KIGOGO2014 ili kimulike mabaya ya HAYATI yaenee NCHINI NA DUNIANI kikilishwa data na insiders wanaofanya kazi kwa interest ya TEAM JK.
"Au nasema uongo ndugu zangu?"
 
Hii inanikumbusha miaka niko form four. Nilimsaidia sana kijana mmoja kuwa Raisi wa serikali ya wanafunzi shuleni. Baadaye akanigeuka. Kwa kawaida wanafunzi huvaa mashati ya mikono mifupi isipokuwa viongozi na wastaafu. For one reason or another na mimi nilikuwa navaa shati la mikono mirefu. Sasa huyu president niliyemuweka madarakani akawa amepanga kulikata mikono shati langu mbele ya halaiki. Na mimi nilishtukia mchezo kwa kuondoka assemble na kwenda kubadili bwenini. Alinitafuta sana pale assemble ili atimize nia yake ovu ila hakunipata. Kijana huyu nilikuja kumpokea tena akiwa form five na mimi nikiwa form six pale Mzumbe sec na nilimsaidia kwa hali na mali mpaka alipokuwa mwenyeji.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "Eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha jina lake katika mchakato wa kuwania Urais 2015 kwani mimi (kama Rais na Mwenyekiti wa chama) ndiye niliyepeleka majina matano (5) Halmashauri" na ukaenda mbele zaidi ukasema katika kuchagua majina matano jina la kwanza lilikuwa la JPM alafu yakafuatia mengine manne. Umeenda mbele zaidi na kusema kuwa alikuwa jembe lako katika baraza lako la mawaziri huku ukijikanganya zaidi na kusema mlipokuwa mnatifuana JPM alikimbilia kupeleka mashtaka kwa kaka yako mkubwa ambaye ni marehemu sasa.

Maswali magumu:

(i) Je, kwani wewe ndiye uliyependekeza hayo majina matano au ni CC ya chama chako ndiyo iliketi na kukuletea wewe kwa ajili ya kuyawakilisha Halmashauri? Labda tusaidie kwani hayo majina ulitoka nayo nyumbani kwako kwa kushauriana na familia yako?

(ii) Je, si kweli JPM aliingizwa katika tano bora baada ya kuona "mamvi" hawezi kuaminika katika chama na wananchi wanataka mchapakazi asiyekuwa na doa ili kukikomboa chama kilichokuwa kinaelekea kuanguka na sio kwa mapenzi yako binafsi?

(iii) Hivi mashtaka aliyokuwa anapelekea JPM kwa kaka yako mara kwa mara yalihusu nini kama kweli alikuwa jembe lako katika baraza lako?

(iv) Mwisho japo sio kwa umuhimu. Unajuaje pengine watu wanasema chuki zako dhidi ya JPM zimeanza kuonekana zaidi baada ya yeye kuwa tayari ni "Mkuu" kwa maana ya kuwa hukuwa na jinsi tena ya kubatilisha maamuzi yako?
Sasa unataka tukuamini ww Kama Nani wakati mwenyewe kaisha tueleza mbona watanzania ni wanafiki hivi
 
JK ni Mswahili kama Waswahili wengine tu wa Pwani. Kuna sehemu alisema JPM alikuwa akimshtaki kwa kaka yake (JK) mara zote alipo mkwaza!! Mara alimpenda sana!! [emoji56]
Tumia akili mkuu hata we na mmeo hua mnatofautiana
 
Tumia akili mkuu hata we na mmeo hua mnatofautiana
Watch your back young boy. Nilicho kiandika hakina maana yoyote ile uwazacho wewe. By the way, mimi sina tofauti yoyote ile na mzinga wa nyuki.

Yaani hata mimi na "MUME" wangu pia huwa tunatofautiana!! Dogo, be careful. Ok. Yaani ni sawa na kusema, mimi na mama D , ni mtu na shoga yake!! 😇 Wacha tu nikusamehe kwa leo.
 
Back
Top Bottom