Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Tanzania imekuwa nchi ya Jamhuri ya ndizi. Nchi inaendeshwa kimagumashi kila mahali na uwongo ndiyo umetawala. Wakati unashangaa Jaji anapewa promotion kuwa Jaji wa Rufaa kwa kuandika hukumu ya Kiswahili kinyume na kanuni, huku Wabunge wasio na Chama wanaruhusiwa kuingia Bungeni na kushiriki mijadala na utungaji Sheria.
Upande mwingine Rais ambaye ni mbumbumbu wa fani ya udaktari ndiyo anayetoa kauli kuwa hakuna ugonjwa wa corona wakati upande wa pili wa nchi Makamu wa Rais anasema amepimwa na kakutwa na corona.
Tanzania imekuwa ni NCHI YA HOVYO