Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

Mkuu asante sana kwa huu uzi, najua wengi watapinga kwa ajili ya manufaa yao, kifupi mimi na familia yangu hatutachanja, kama ni kukosa huduma wacha tuzikose, kama ni nikuosa safari za kwenda nje ya nchi waache nizikose, mwishowe kuna siku hawa hawa wanotoa hizi dawa bure wataanza kuziuza na kwa kuwa walishaingiza virusi vyao kwenye miili yetu basi watatuaminisha na itakuwa hivyo kuwa ili uendelee kuishi fanya hivi kwa kutoa pesa kiasi fulani,wenzetu wanatajirika kwa kutumia teknolojia, muda si mrefu tunaweza ambiwa wale wote waliochanjwa itabidi wanununue chip na kuwekwa mwilini ndio uishi na huku tayari ushafanywa sawa tayari Faru John ambaye hata uende wapi utajulikana upo wapi na unafanya nini ,au tuzime hiyo chip na ufilie mbali.
Mkuu usisahau kupitia master link ifuatayo 👇carefully,ni muhimu sana at this time.Make sure you decide anything regarding the C-19 from an informed position.Remember that your decision will be a matter of life and death.

Chanjo za Ndui, polio na nyinginezo zilikuja kipindi hata ubaguzi wa rangi ukiwa juu. Tena baada ya ukoloni, hao wabaya walikuwa na fursa kubwa ya kutumaliza.

Hizo chanjo za covid, zipo za mchina, mrusi, mjerumani, mmarekani , mwingereza. Itakua ni jambo la kistaajabisha kuamini mataifa yote hayo yenye itikadi na mitizamo tofauti ya kidini na siasa, yakawa na lengo moja la kuangamiza watu duniani.

Hadithi za 666 tumezisikia muda tu , hasa kwenye masuala ya afya. Kuanzia njia za uzazi wa mpango hadi ugonjwa wa ukimwi.

Nachoweza kuungana na wengi, ni masuala haya ya chanjo na madawa, ni biashara kubwa pia ni silaha za kisiasa. Sisi tulioachwa nyuma tujijengee uwezo wetu wa ndani wa kisayansi , sivyo tutabakia kupiga umbea na fikra potofu za majukwaa feki ya kiimani
Hercule presentation yako ni nzuri overall,but you do not seem to be able to connect between the material world and the spiritual perspective behind it.Naomba ufahamu kwamba unacho ona has spiritual meaning behind it,I mean it is spiritually inspired.That is,it starts in the spirit,and later manifects itself in the material realm.Kama ukishindwa kuelewa ukweli huu,utashindwa kuelewa mambo mengi sana kama kweli C-19.

The C-19 is a luciferian agenda 100%.Hivi mkuu hujajiuliza kwa nini Bill Gates amewaachia wengine Computers na amekuja kutia nguvu kwenye chanjo?This is a question which every intelligent and reasonable person should ask,including you.

Ni kwamba to him there is nothing new,he has patented a software called the Software of Life:Microsoft Windows 666 mRNA Operating System.What will this soft ware be able to do:it will be able to re-programme your DNA so that you can be what they want you to be.Nikuambie nini mkuu,this is a very scary scenario,na ni kweli,whether you deny it or not.
 
Tatizo imani mnachanganya na sayansi. Imani kwa kiasi kikubwa ni hisia bila ushahidi wala hoja. Sio kila kitu ni kufuata kama maamuma
 
Tatizo imani mnachanganya na sayansi. Imani kwa kiasi kikubwa ni hisia bila ushahidi wala hoja. Sio kila kitu ni kufuata kama maamuma
Hercule nimeshakuambia utashindwa kuelewa mambo mengi kama spiritually you are weak.Whatever you see ni spiritual matters being manifested in the material world or realm.NWO wenyewe wanatumia Babylonian Occult kufanya mambo yao,sasa wewe uta-deny vipi hayo mambo.They are real.Do you know that you are a spiritual being? Yes you are.Watch this👇

Watch also this👇

Sasa do you know what they are doing with the C-19 vaccine?Wanachezea your DNA in the Pineal Gland as I said,so that you can be what they want you to do.If they want to make you evil,which is infact what they want,they make you evil.Kama wanataka uwe a zombie,they make you a zombie.

I hope hutakataa ushahidi huu wa wazi waki-sayansi.
Anyway,silaumu watu wengi,hata scientists wengi kutoelewa haya mambo,this is relatively new science.

Ndio maana Klaus Martin Schwab,the Executive Chairman of the World Economic Forum,has said,"when the World citizenry has received the C-19 shot,they will own nothing,but they will be happy!" How reasonably can you be happy if you own nothing?That cannot be,unless you are a Zombie.And that is indeed what everybody who will receive the shot be.The Software of Life will be able to do just that.
 
Hercule nimeshakuambia utashindwa kuelewa mambo mengi kama spiritually you are weak.Whatever you see ni spiritual matters being manifested in the material world or realm.NWO wenyewe wanatumia Babylonian Occult kufanya mambo yao,sasa wewe uta-deny vipi hayo mambo.They are real.Do you know that you are a spiritual being? Yes you are.Watch this[emoji116]

Watch also this[emoji116]

Sasa do you know what they are doing with the C-19 vaccine?Wanachezea your DNA in the Pineal Gland as I said,so that you can be what they want you to do.If they want to make you evil,which is infact what they want,they make you evil.Kama wanataka uwe a zombie,they make you a zombie.

I hope hutakataa ushahidi huu wa wazi waki-sayansi.
Anyway,silaumu watu wengi,hata scientists wengi kutoelewa haya mambo,this is relatively new science.

Ndio maana Klaus Martin Schwab,the Executive Chairman of the World Economic Forum,has said,"when the World citizenry has received the C-19 shot,they will own nothing,but they will be happy!" How reasonably can you be happy if you own nothing?That cannot be,unless you are a Zombie.
Kawaambie hayo Vatican na Mecca wanaopokea chanjo. Au nao wako " weak spiritually " [emoji2]

Wazungu haohao ndio waliokuletea dini kukukomboa??
 
Kawaambie hayo Vatican na Mecca wanaopokea chanjo. Au nao wako " weak spiritually " [emoji2]

Wazungu haohao ndio waliokuletea dini kukukomboa??
Hercules mimi siongelei Dini,unakosea sana. Dini ni Luciferian.Na ndio maana wanaosema wana Dini wanavaa barakoa.Utasemaje you believe in God halafu unavaa barakoa eti to protect yourself from C-19?Kwanza hata common sense says that is wrong.

Anyway this seems to be very complex to you,ngoja nikuache.Itoshe tu kusema kwamba wanadamu wameshindwa kuelewa swala la C-19 because it is a spiritual matter,somehow manifesting itself in the material realm.
 
Mkuu samahani, swali dogo tuende sawa.

Ushawahi kutibiwa hospitali, kama ndiyo kwa nini ulikwenda huko kupata matibabu
 
Bioweapon hiyo au "Software of Life" kwa maana ya "Microsoft Windows 666 mRNA Operating System" ni hiari,ila nimeshakujuza ubaya wake,usije ukajuta kama wale ambao wameshaipata wanavyo juta.Kila la heri,tutangulie mbele za haki,na sisi tunakuja,damu yako sidaiwi.

Kutangulia mbele za haki hakuna mwenye mjomba. Katika zama hizi za Corona nani ana uhakika wa kesho?

Nani alijua mwendazake, Maalim, KMK nk wangelitutangulia?

Ama kwa hakika Corona ni baba lao.
 
Hey, what is wrong with you?You seem to be interested so much in my comments wakati huna lolote unaloniongezea,ni upupu mtupu.Kama huna la maana kaa mbali na comments zangu Brazaj.

Hey! You have nothing interesting but at the same time, you can't be left to mislead others!

A renown virologist isn't expected to hide behind some fake IDs.

What the hell are you scared of?
 
Katika udhibiti wa corona,mazingira yetu yazingatiwe sana.

Data ziwekwe wazi.Wataalamu waruhusiwe kupima lakini wafuatiliwe kujiridhisha wanatupa majibu sahihi.

Tuwe makini na kila kitu hadi vifaa kuhakikisha vinatupa majibu sahihi na si vinginevyo.

Kuna conspiracy theories nyingi kuhusu huu ugonjwa na mambo yanayozungumzwa hatuwezi kuyapuuza yote.

Ndio maana nasisitiza tuwekeze kwenye kupima na kufuatilia athari zake ndani ya nchi yetu huku tukiwa makini kuhakikisha hakuna anayepika data wala kuhujumu zoezi ili ugonjwa uonekane mkubwa au mdogo.

Tujue ukweli kwamba hili kwetu ni tatizo kubwa au la kawaida.

Then tuchukue hatua sahihi.

Hizo chanjo kwa kweli mtanisamehe mimi sitaki hata kuzisikia.Siamini kabisa kwamba in two years time tunaweza kuwa na chanjo sahihi kwa mdudu aliyeisumbua dunia bila kutibika maelfu ya miaka kama virus.I think kama dunia tumechukua risk kubwa sana kufanya experiment kwenye miili ya watu at global level.

Dr Fauci wa U.S aliulizwa kwanini bado wanahimiza lockdowns hata baada ya majority ya watu kuchanjwa,jibu alilotoa linakatisha tamaa.Kwamba there are still unknowns about the virus and the vaccine so hawako sure na efficiency ya chanjo(which means wanafanya majaribio).Na bado wanasema itachukua muda mrefu sana kufikia herd immunity!They always come up with something new to exaggerate the situation!
Kuna vitu vya kuwa navyo makini sana.
Mkuu dah!Wapime nini.The so called C-19 virus has never been proved to exisist, simply no evidence.Akina Anthony Fauci,Bill Gates na washirika wao Wameambiwa by independent and uncompromized scientists wa-prove kwamba the virus exisists wameshindwa mpaka sasa.Infact dau la US $ 1.8 million lilitolewa,lakini hakuna yeyote aliyeweza kuthibisha kwamba virus wa C-19 yupo.

Halafuu,wapime kwa kutumia nini,the RT-PCR kit ambayo ina-report 100% false positives!Mkuu the whole thing is fraudulent and fake.

Mkuu umeshawahi kuona ingredients za inaitwa C-19 vaccine? Ni kichekesho.Sio vaccine kabisa,ni mRNA technology ambayo nia yake ni ku-re-programme DNA kwa nia ya ku-control wanadamu 100%.Infact atakaye kubali kuchanjwa anakubali kuwa a visible Zombie na Guine Pig,kama atakuwa na bahati ya kuishi.

Napenda nisisitize hapa kwamba the American Food and Drugs Administration wamesema categorically kwamba hawatapisha any of the vaccines kwa matumizi ya binadamu.Kwa nini?Akili kichwani.Ikumbukwe pia kwamba chanjo zote za C-19 hazijaruhusiwa kutumika kama chanjo na WHO,European Medicines Agency na European Medicines Centre.Kwa sasa zinatumika in an experimental capacity only.Niseme hivii,yeyote anayekubali chanjo hizo anakubali kuwa Zombie na Guinea Pig kama nilivyo sema,kwa kuwa kinachoendelea sasa ni majaribio.

Contents za hiyo chanjo hizi hapa👇.

CORONA VAX INGREDIENTS ARE HORRIFIC BEYOND BELIEF

By Jim Stone's

I repeat the so called C-19 jab not a vaccine,it is an mRNA therapy or a bio-weapon,and who ever believes this is a vaccine is either dumb or compromised.That is the bottomline!

What Ingredients are in the COVID-19 Vaccine?
(We just got the answer to why people end up twitching until dead, or die on the spot)
Let me guess the troll response: “There’s nothing here saying it is dangerous if you inject it! They said no skin contact, don’t inhale it, don’t eat it, but they did not say don’t inject it, so that’s OK!!!

___
Jim Stone's Blockbuster: CORONA VAX INGREDIENTS ARE HORRIFIC BEYOND BELIEF
 
Mkuu nacheka sana.Wenyewe wanakiri hiyo dhana kwamba ni kweli na ni identification number ya Mungu wao Lucifer,sasa wewe utakataa je?Fanya independent research basi, mbona you can.Na hivii, mbona ipo kwenye products nyingi sana siku hizi,including barcodes.Mkuu be more diagnostic,usikatae kitu bila justification.

Amazon product ASIN B07MC2JBH7

Hizi nimetafuta haraka haraka tu,but there is a lot about the number 666.

In the Bible it is called the number of the Beast.You can read about it in Revelation 13,but specifically Revelation 13:16-18.
Is 666 a scientific explanation to support your arguments? Just give tangible evidence with regard to 666. Otherwise just tell us they are mere long time theories which purely originate from hallucinations
 
Long time theories?666 is a Satanic symbol depicting Lucifer,it is not,I repeat not an old theory.Satan was created along time ago,but he is alive and well even today.Wajinga ni ninyi msiojua haya mambo,wenzenu ni symbol muhimu sana kwao depicting their God Lucifer.

Watch this👇

Usiniite tu mjinga. Just give a logical proof kuwa 666 is a Satanic symbol or whatever you wish to call. Do you think your belief is universal? Wewe haya ya kwamba 666 ni alama ya shetani umeyatoa kwenye Biblia. Unadhani mtu ambaye si muumini wa imani yako ya kwenye Biblia analazimika kuamini this nonsense? Unajiita Mwanasayansi lakini argument yako ya 666 haina any scientific proof zaidi ya kusema wenyewe wanaiamini na kuitumia? Tumia akili unapojenga hoja hasa kwenye platforms kama hizi ambazo zimejaa watu wenye diverse thinking. Kumbuka imani yako siyo binding kwa kila mtu
 
These are not believes,ni real.Kama unaamini in the exisistence of Satan,666 is just his number.

In modern popular culture, 666 has become one of the most widely recognized symbols for the Devil. The number 666 is purportedly used to invoke Satan. Earnest references to the number occur both among apocalypticist Christian groups and in explicitly anti-Christian subcultures.

Halafu mkuu sio intelligent kubishia kitu just because you do not know it,it is intelligent to seek for clarification.Niseme pia kwamba it is irrational to believe that a scientist cannot be spiritual, infact he should be so because he knows Gods's secrets like the various processes which makes human life possible.

Finally,si kweli kwamba the number 666 is only in the Bible.Labda niseme hivi,the Bible mentions the number because God knows that Satanists uses the number,so he is alerting his children to be on the watch out.
 
Back
Top Bottom