Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

Ushahidi walau wa jumla unaonesha vifo vya polio na magonjwa mengine yenye chanjo vimepungua kama sio kutokomezwa kabisa. Hii ni "fact"

Kuhusu athari ya chanjo hizo, zinaweza kuwepo ila tunahitaji taarifa na tafiti zaidi na sio hisia kuhukumu chanjo hizo na zijazo. Ujinga ni kuhukumu wakati huna taarifa za kina kuhusu athari za chanjo ukilinganisha na faida yake hapo juu.

Mjadala huu unashadadiwa kwa mtizamo wa kidini/hisia/imani zaidi . nadhani lugha za wanasayansi ni ngumu kueleweka kwa wengi. Tuwaacheni wanasayansi wafanye kazi zao na kutushauri, puuzeni wasanii wakina gwajiboy
Nikiangalia ile misongamano ya watu mahali kama Kariakoo, mbagala, masokoni , katika daladala na sehemu zingine na hatusikii wala kuona vifo wala mazishi yasiyo ya kawaida huku mitaani tunakoishi, halafu wanakuja watu wanashupaa kuwa Tanzania kuna corona! Hivi unahitaji kusisitiziwa kuwa corona ipo? kama ingekuwepo yenyewe ingejieleza kupitia vifo mitaani.

Mungu ameilinda Tanzania kipindi chote huku wenzetu wakifa kwa corona huko nje. Ikiwa tumechoka kumtegemea naye anaweza kuiacha Tanzania ikawa kama mataifa mengine. Ila chonde chonde hatua zozote zitakazochukuluwa katika hicho kinachoitwa kupambana na corona kiwe hiyari na tusilazimishane kuvaa barakoa wala kuchanja.

Mwisho wa siku kila mtu ataona tofauti ya kumtegemea na kutomtegemea Mungu .
 
Nyie mnajidai sijui new world order halafu mnatumia smartphone na mitandaonya mzungu, mzungu anajua nyumbani kwako ni wapi, unalala saa ngapi, unaamka saa ngapi kupitia hiyo hiyo simu yako. Wakiamua kutuua wala hamna haja ya kuzunguka mbuyu sijui chanjo, anakutega tu pale unapopapenda kwenye smartphone na mitandao
 
Ndio kipimo chako cha magonjwa kwa kuangalia msongamano wa watu Kariakoo na Mbagala. Upuuzi ulioje

Ugonjwa huu unakuja na wimbi "wave" na kupotea.

Ukaangalie pia misongamano ya ibada za maziko makaburini
 
Yapo maswali muhimu ya kuendelea kujuliza kuhusu chanjo ya kirusi cha corona.

Ieleweke kuwa jamii ya virusi vya mafua imekuwepo nchini Tanzania kwa muda mrefu.
Hakuna mtanzania ambaye hajawahi kuugua mafua japo mara mbili kila mwaka.

Ni ukweli usio shaka kwamba Tanzania na dunia imekuwa ikiathiriwa na virusi mbalimbali vya mafua na pia ni ukweli kuwa kila baada ya miaka mia moja kunakuwa na mlipuko wa mafua kidunia yaani pandemic.

Mwaka 2019 umetokea mlipuko wa kidunia wa mafua aina ya covid ambao umezua taharuki duniani.Virusi wa ugonjwa huu ni jamii ya virusi ambavyo vimekuwa vikisumbua sehemu mbalimbali duniani na upo uwezekano wakati flani Tanzania iliathiriwa lakini pengine kutokana na vifaa vya kiuchunguzi kuwa duni havikutambilika,
Hapa ninamaanisha wakati wa Avian flue huko mashariki ya kati inawezekana Watanzania waliambukizwa,waafrika waliambukizwa kutokana na muingiliano wa kidunia.

Mwaka 2019 mafua yameleta taharuki duniani pengine kutokana na makosa ya WHO au washirika wengine wa maswala ya afya.Taharuki hii imepelekea reaction ya mataifa bila mpangilio na hivyo kuleta athari ya kupoteza maisha.

Wizara ya afya ikifuatilia takwimu zake kwa kina,usahihi na ukweli wa wazi itaona magonjwa au vifo vitokanavyo na mafua au pneimonia ina mfanano yaani similarity kwa miaka kadhaa,nasema hivi kwani wakati wa taharuki ya covid vifo vingi vilisingiziwa kuwa ni covid na vile vifo tulivyozoea vya pneumonia au magonjwa ya upumuaji vilipungua,Hapa naamanisha magonjwa ya njia ya upumuaji katika kipindi cha mlipuko wa covid yalishift na kubatizwa jina la covid.

Analysis ikifanyika naamini itaonesha morbidity na mortality due to respiratory illnesses remains the same let say kwa miaka 10 iliyopita.

Naendelea kusisitiza kuwa kuna uwezekano mkubwa sana tulipoteza wagonjwa hasa kabla ya mei 2020 unnecessary kutokana na taharuki.
Ukitaka kujua ukweli huu fanya analysis ya vifo vya magonjwa ya njia ya hewa kwa mwaka 2021 au baada ya mwezi mei 2020 ambapo watanzania waliondolewa hofu na wataalamu wa afya kutakiwa kuendelea kutibu corona kana mafua mengine.

Naamini pia iwapo tutaendelea na msimamo ule ule wa kuitibu corona kama other influenza like illnesses kwa mwaka ujao na zaidi tutapata matokeo yale yale sio tu hapa Tanzania bali duniani kwa ujumla.

Nikitolea mfano je takwimu za ugonjwa na vifo vya kifua kikuu ziliendaje wakati huu tulipotaharuki na corona?naamini Ugonjwa na vifo vya TB vilipungua,hii ikamaanisha zipo cases za TB zilizobandikwa jina la covid 19 na watu wakapotea.

If my theory is right basi mwaka 2020 ugonjwa wa TB na vifo vyake vilipungua...swali je vilienda wapi...Jibu ni kuwa vilisingiziwa kuwa ni corona.

Vivyo hivyo ugonjwa au vifo vitokanavyo na magonjwa ya moyo/kisukari vinawezekana vilipungua pia ,vilienda wapi ...jibu ni kuwa vilisingiziwa kuwa ni corona.
wataalamu tufanye analysis zaidi je takwimu za vifo vyote kwa mwaka (hasa vya watu wazima)2016,17,18,19,20,21 viliongezeka au kupungua au vilishabihiana??
my assumption ni kuwa almost vilibaki vile vile.
Msimamo wangu kama mtaalamu ni kuwa taharuki ya kidunia ilifunika ukweli wa kisayansi na bado inataka tufanye maamuzi ya kukurupuka.

Maswali
1-Iwapo ugonjwa wa mafua ambao mara nyingi husababishwa na virusi vinavyojibadilisha unahitaji chanjo ?

2-Tukija na Chanjo ya corona tuna uhakika gani kuwa kitakachowamaliza wagonjwa si kirusi kingine cha mafua?

3-Kwa nini miaka yote hatujawahi kujadili chanjo za mafua mbalimbali ambayo yameleta madhara in a seasonal way miaka na miaka?

4-Je kama Taifa tumeshajipanga sasa kuwa na chanjo au tiba ya kila ugonjwa unaoongoza kitakwimu?yaani tunaweza kujidai tunaikinga corona kwa chanjo vipi kuhusu mafua mengine ambayo yatuua kila mwaka?
I we ready for the pace of preventing almost every desease ambayo inaua watu wengi kama zilivyo nchi za magharibi?where is the policy of priority on morbidity and mortality prevention in Tanzania?

5-Je Serikali iamue kupambana na corona kwa kutumia rasilimali zote na kuachana na HIV,Malaria,cervical cancer and maternal/perinatal deaths??

6-Je tuendelee kuogopa preassure ya mataifa ya nje kutuamulia ni ugonjwa gani wa kupambana nao na upi tusubiri??

7-Je Takwimu zinatuonesha kuwa tukiendelea na msimamo wetu wa kupambana na corona kwa kutumia njia zote za WHO ukiondoa chanjo tutafail??

8-Je tunao wataalamu wazalendo na ambao sio kasuku wanaoweza kuchambua na kumshauri mhe Rais kuhusu chanjo ya corona?

Nakaribisha arguments za nguvu kuhusu post hii.
Covid19 sio mafua na hata dalili zake mafua ni kwa asilimia ndogo sana,unasema WHO wamekosea kwa kutumia data zipi kuonyesha haya makosa?
 
Dah,kweli wajinga ndio waliwao.Nimesema wazi hii sio chanjo,ni Microsoft Windows 666 mRNA Operating System, doesn't that tell you everything.

Anyway way sio mtaalamu,kwa hivyo dialogue na wewe ni time wastage.
Unaongea Uharo
 
Unaongea Uharo
Sema kwa nini nilicho ongea ni uharo,give facts,sio matusi.Hii inaonyesha jinsi ulivyofirisika kimawazo na usivyo elewa mada iliyoko mezani.Nenda kwenye mada za udaku mkuu,hapa sio pako.
 
Sema kwa nini nilicho ongea ni uharo,give facts,sio matusi.Hii inaonyesha jinsi ulivyofirisika kimawazo na usivyo elewa mada iliyoko mezani.Nenda kwenye mada za udaku mkuu,hapa sio pako.
Andaa Bega uchanjwe Bwege wewe
Tena wewe tutakuchanja Matakoni
 
Andaa Bega uchanjwe Bwege wewe
Tena wewe tutakuchanja Matakoni
Eti tutakuchanja, who are you in the first place.Mkuu kwa taarifa yako,wa mwisho atakuwa mimi,nifanywe kuwa Zombie niwe controlled by remote control!Death is preferable.

Na hata hivyo kamati imesema chanjo itakuwa "huru" kwa the idiots and stupid like you as the Bildeberger Group calls you👇.

IMG-20210512-WA0008.jpg
 
Sasa kama unachosema ndio ukweli na hauna haja ya kuamini kabisa taasisi za kidunia kama WHO, basi tukate mirija kabisa nao tuwe kama North Korea. Hizo takwimu za WHO na wengine zinatoka humuhumu kwetu kupitia NBS, kaangalie kwenye tovuti yao utaona study za mpaka miaka ya 70 zin

Moja, tafiti za kwetu ni duni hata vyanzo vyako vya taarifa ni haohao wazungu unaosema wanataka kutuua (inaweza pia ikawa wanacheza na saikolojia kututisha).

Mbili, si chanjo tu tunayopokea kutoka huko kwa wabaya unaowataja. Asilimia kubwa ya madawa, vifaa na hata silaha tunatoa kwao. Wangevitumia kutuangamiza kirahisi kabisa.

Acheni kuwapa watu vitisho visivyo na ushahidi wa kutosha.

Takwimu zinaonesha, idadi ya watu Afrika imekua na itaendelea kukua kwa kasi. Ingekuwa wametudunga sumu tungeona madhara yake waziwazi.
Yes,kiuhalisia international organizations zilizobuniwa in the West are not trustworthy,it is sad kwamba hatulitambui hilo.
 
"Tutakuchanja!" Who are you in the first place.Mkuu kwa taarifa yako,wa mwisho atakuwa mimi,nifanywe kuwa Zombie niwe controlled by remote control!Death is preferable.

Na hata hivyo kamati imesema chanjo itakuwa "huru" kwa the idiots and stupid like you as the Bildeberger Group calls you[emoji116].

View attachment 1788931
Tutakuchanja ya Matako tena
 
Chanjo kabla ya kuruhusiwa kutumia tz lazima ithibishwe na mamlaka husika whether ni tbs au tfda . Nchi zote duniani zimefanya hivyo,nyie mnao lia lia kwa ni hatari hamuiamini serikali yenu?

Watu wabishi ila mmepigwa chanjo kibao,
Kifua kikuu
Surua
Pepo punda
Homa ya manjano
Homa ya ini
Donda koo
Chanjo ya malaria inafanyiwa majaribio Ifakara kwa sasa.

Mzungu kote huko ameshindwa kutuua tena chanjo nyingine tunapewa baada tu ya kuzaliwa?
 
Online kuna porojo nyingi sana, kina Alex Jones wamevuruga akili za watu wengi mno.

Watu wanajiita scientists halafu wanaongea conspiracy theories zilizokuwa enforced na fake news, wakiombwa proof wanaanza kusema "hatutaweza kuelewa". Itoshe kusema kama lengo ni kuwamaliza watu weusi, kuna dawa nyingi sana tunaletewa ambazo zingeweza kutumika.

Hata UKIMWI nao ulikuwa na watu wenye akili za ki-conspiracy hivi hivi, hapa tuna Dr Gwajima South Africa walikuwa na Dr Manto akiwaambia watu dawa ya kudhibiti HIV ni kula tangawizi, kitunguu swaumu na beetroot badala ya kutumia ARV. Wanasayansi wachache wanaopingana na Wanasayansi wenzao huwa hawakosekani.
 
Chanjo kabla ya kuruhusiwa kutumia tz lazima ithibishwe na mamlaka husika whether ni tbs au tfda . Nchi zote duniani zimefanya hivyo,nyie mnao lia lia kwa ni hatari hamuiamini serikali yenu?

Watu wabishi ila mmepigwa chanjo kibao,
Kifua kikuu
Surua
Pepo punda
Homa ya manjano
Homa ya ini
Donda koo
Chanjo ya malaria inafanyiwa majaribio Ifakara kwa sasa.

Mzungu kote huko ameshindwa kutuua tena chanjo nyingine tunapewa baada tu ya kuzaliwa?
Wafuasi wa mwendazake walilishwa sumu mbaya
 
Nyie mnajidai sijui new world order halafu mnatumia smartphone na mitandaonya mzungu, mzungu anajua nyumbani kwako ni wapi, unalala saa ngapi, unaamka saa ngapi kupitia hiyo hiyo simu yako. Wakiamua kutuua wala hamna haja ya kuzunguka mbuyu sijui chanjo, anakutega tu pale unapopapenda kwenye smartphone na mitandao
Kukuua hadharani itamfanya ashtakiwe
 
Chanjo kabla ya kuruhusiwa kutumia tz lazima ithibishwe na mamlaka husika whether ni tbs au tfda . Nchi zote duniani zimefanya hivyo,nyie mnao lia lia kwa ni hatari hamuiamini serikali yenu?

Watu wabishi ila mmepigwa chanjo kibao,
Kifua kikuu
Surua
Pepo punda
Homa ya manjano
Homa ya ini
Donda koo
Chanjo ya malaria inafanyiwa majaribio Ifakara kwa sasa.

Mzungu kote huko ameshindwa kutuua tena chanjo nyingine tunapewa baada tu ya kuzaliwa?
Imagine chanjo ya malaria imeanza kufanyiwa utafiti lini na hadi leo haijawa aporoved kwa matumizi.
 
Back
Top Bottom