Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

Mbona uhuru kenyata wakati wa ziara ya mama alivaa barakoa, na huko ulaya bado hata kwenye michezo watu wanazuiwa ili hali kuna waliochanjwa
Je na hao waliochanjwa kwa nini wasiingie uwanjani?

Bado h7ko majuu unaona viongozi ambao walivhanjwa tukaonyehswa lakini wanavaa barakoa maana yake nini

Maswali yako mawili yaikuwa wazi:

IMG_20210515_205811_198.jpg

Majibu yangu kwenye red pia yalikuwa wazi na cha mno nikakutaarifu wapi unaweza kusoma zaidi:

IMG_20210515_210012_144.jpg

Kweli sikujibu maswali yako au una maswali mapya? Au majibu yanayoashiria mafanikio wewe huyapendi kwa sababu zako tu?

Kama una mapya haya je, tumemalizana nayo? Nitafurahi kuyajibu mapya lakini kwanza nijue if we are making progress.

Au vipi mjomba?
 
Check out mataifa makubwa Africa... India, South Africa etc wamekubali chanjo... lakini kinachoendelea Virus wamebadilisha tabia.... Hiyo Vaccine ya C-19, yenyewe ni virus.... Bill Gate na wenzake wanajua ukweli wote..... Tuendelee kutumia dawa zetu za asili... kupambana na mafua..... Hii ni World New Order... tuwe makini sana wa Tz....
 
Hiyo taarifa ni ya lini maana sijaisikia ikitangazwa
Au ni hisia tu za yule bos wa who ambae alisema afrika watu watakufa kama mizoga bila utafiti?
 
Tumezungumza sana kuhusu ujinga huu wa kudhani kitu usichokijua ni conspiracy theory.Wanao conspire against us ni hawa waliotuletea Corona.Wanawafundisha ujinga,halafu na ninyi mnaimba kama parots.Mimi nifanye conspiracy against my fellow Tanzanians ili iweje?Wake up.

Halafuu,kuwa na kovu la ndui ina maana kwamba mimi kuchanjwa ilikuwa sahihi,no,it was wrong then and it is wrong now.After all zile zilikuwa nyakati za ujinga,now we know what is happening,lazima tukatae.Acheni ujinga.
Kwahiyo wamekaa ku-conspire kukuua wewe kwa gonjwa na chanjo lakini gonjwa likatapakaa na kuwaua na wao kwa bahati mbaya sio?!? Na chanjo wakaanza kujichanja wao ili kukutega wewe tu mkuu. Haya nita-wake up!
 
Mkuu asante kwa mawazo yako.Mimi nimechukua Microbiology with specialization in Virology.Niseme hivi,kama mtaalamu wa Microbiology specialized in Virology,kwenye C-19 hakuna Science kabisa,it is fake science.Swala hili ni pana,na naamini kama kweli wewe ni mtaalamu utapenda kupata uncompromized scientistific information around the World regarding the subject of C-19.

As a scientist sikukubaliana na narrative ya the mainstream media,Bill Gates,CDC na hata Anthony Fauci na European Healthy agencies kuhusu C-19.Nilihisi kuna agenda ovu na udanganyifu,kwa kuwa the narrative they were providing was not based on the true science I know.

Baada ya kufanya utafiti wa kina,nimegundua kwamba kweli the whole issue about C-19 is faked and is not based on true science.What does this mean,it means that maamuzi yote worldwide yaliyofanyika kuhusu C-19,ni wrong and uncalled for.

Naomba nikupe link uone taarifa nilizokusanya worldwide kwa nia ya kujua ukweli kuhusu C-19.I hope you will come to the same conclusion as I did,after going through the information.

Please have a good perusal.

Nimalizie kwa kusema kwamba kama nchi tutakuwa tumefanya makosa makubwa sana kukubali injection ya C-19.Mimi siiti chanjo kwa kuwa sio chanjo.Infact imegindulika kwamba ni Microsoft Windows 666 mRNA Operating System.Kama unaelewa maana ya namba 666,utagundua kwamba we are dealing with Lucifer himself.Very scary indeed.
Very true and precise. Kuna jamaa m'moja ni dokta wa muhimbili tulikuwa na hii discussion. Namna umeilezea ni 80% ya nilichokuwa nakizungumza but niliongea zaidi.

Kilichoniuma kwa upande wa wasikilizaji walikuwa wana mfavour jamaa na kumsikiliza cheap argument yake sababu eti ni dokta na anajua anachosema. Mimi nikaambiwa nina fanya ubishi plus natoa hoja zangu mitandaoni.

Nikasema bongo ndio maana maendeleo ni kwa wachache sana. Watu wanaweza kusoma ila bado upeo ukawa chini sababu ya uwezo mdogo wa kujenga hoja na kuitetea.

So kwa nilichojifunza siku ile ni kuwa majority ya watanzania bado kuna ujinga mwingi sana na hii ina dhihirika kupitia namna watu wanayachukulia mambo mazito kirahisi na mambo marahisi kiuzito isivyo stahili.

So big up sana kwako kwa kuongea kwa kuchanganya akili za darasani na za kwako pia binafsi. Huu ndio usomi haswa unaovyotakiwa.
 
Chanjo za Ndui, polio na nyinginezo zilikuja kipindi hata ubaguzi wa rangi ukiwa juu. Tena baada ya ukoloni, hao wabaya walikuwa na fursa kubwa ya kutumaliza.

Hizo chanjo za covid, zipo za mchina, mrusi, mjerumani, mmarekani , mwingereza. Itakua ni jambo la kistaajabisha kuamini mataifa yote hayo yenye itikadi na mitizamo tofauti ya kidini na siasa, yakawa na lengo moja la kuangamiza watu duniani.

Hadithi za 666 tumezisikia muda tu , hasa kwenye masuala ya afya. Kuanzia njia za uzazi wa mpango hadi ugonjwa wa ukimwi.

Nachoweza kuungana na wengi, ni masuala haya ya chanjo na madawa, ni biashara kubwa pia ni silaha za kisiasa. Sisi tulioachwa nyuma tujijengee uwezo wetu wa ndani wa kisayansi , sivyo tutabakia kupiga umbea na fikra potofu za majukwaa feki ya kiimani
Hoja hapa sio mataifa ya magharibi kutudhuru tu, bali pia hoja iliyopo ni kwann tudeal na tiba za magonjwa kwa kutegemea dawa kutoka kwa watu wengine.

Kwa usalama wa taifa hii ni hatari sana. Ina maana tuna hela za kuwalipa CCM mishahara minono, wanajengeana majumba ya kifahari ya mabilioni baada ya kustaafu, kuwapa mamilioni kizembe tu ila hatuna pesa za kufanya tafiti zetu binafsi na kuja na dawa au kinga zetu kama Tanzania?!

Hapa ndio shida inaanza tunaona vya kupewa na kuletewa ni nafuu ila kuunda vyetu ni gharama.

Aiseee.
 
Mkuu una uhakika gani kwamba hizo chanjo hazikuwa na madhara,acheni ujinga jamani.Hawa watu sio wajinga,they kill you slowly,li usistuke.Wanatumia system ya thesis synthesis antithesis in the process.Infact chanjo zilizopita ingawa zilikuwa zinaua na zilikuwa na madhara mbali mbali,lakini kwa wale walio survive the previous so called vaccines,zilikuwa zinaandaa mazingira ya hii master kill:the C-19 shot.
I agree mkuu.
 
Ushahidi walau wa jumla unaonesha vifo vya polio na magonjwa mengine yenye chanjo vimepungua kama sio kutokomezwa kabisa. Hii ni "fact"

Kuhusu athari ya chanjo hizo, zinaweza kuwepo ila tunahitaji taarifa na tafiti zaidi na sio hisia kuhukumu chanjo hizo na zijazo. Ujinga ni kuhukumu wakati huna taarifa za kina kuhusu athari za chanjo ukilinganisha na faida yake hapo juu.

Mjadala huu unashadadiwa kwa mtizamo wa kidini/hisia/imani zaidi . nadhani lugha za wanasayansi ni ngumu kueleweka kwa wengi. Tuwaacheni wanasayansi wafanye kazi zao na kutushauri, puuzeni wasanii wakina gwajiboy
Hivi before chanjo ya polio, unazo takwimu za kipindi hicho?!
 
Umevihesabu hivyo vifo wewe mwenyewe mkuu, au unategemea taarifa za WHO.Acheni kuwa parots,they cook figures to try to show us that their plans to improve our livelihoods are successiful,but the truth is always the opposite,sio katika afya tu,lakini kila mahali,that is what they have been doing for centuries.

Mkuu common sense should tell you that a person who plans to kill you cannot make plans to save your life, that is unthinkable.Au hamjui kwamba they have a depopulation plan specifically Africans,but also for humanity as a whole.Ufalme ukifitinika hauwezi kusimama,is that not straight forward enough?! Why are we cheated so easily.Tusiwaamini hawa watu kabisa,they have nothing good for us,they are always planning against us.We have to change our mindset na tuwaone in their true colours.

Look at what one of them is saying in one of Bilderberger Groups' confidential manuscript[emoji116],hawa ni watu wa kuamini in anything they say kweli,surely no.And remember this is a member of the Bildeberger Group,ambao ndio waliojipa mamlaka ya ku-decide the fate of humanity.So what he is saying must be true.

View attachment 1785955
Akiendelea kubisha atakuwa ana mgao wake katika hili swala la chanjo chanjo za covid. Si kila raia ni mzalendo.
 
Kuja kwa chanjo sio hoja hoja ni je tumejiridhisha?
Pelekeni upopomaa wenu huko? Unaweza kujiridhisha na kitu ambacho huwezi hata kujua kimetengenezeaje? Magufuli aliwajaza ujinga sana. Semeni basi na yeye ni hofu ilimuua.
 
Hivi before chanjo ya polio, unazo takwimu za kipindi hicho?!
Pitia

Sasa kama unachosema ndio ukweli na hauna haja ya kuamini kabisa taasisi za kidunia kama WHO, basi tukate mirija kabisa nao tuwe kama North Korea. Hizo takwimu za WHO na wengine zinatoka humuhumu kwetu kupitia NBS, kaangalie kwenye tovuti yao utaona study za mpaka miaka ya 70 zin

Moja, tafiti za kwetu ni duni hata vyanzo vyako vya taarifa ni haohao wazungu unaosema wanataka kutuua (inaweza pia ikawa wanacheza na saikolojia kututisha).

Mbili, si chanjo tu tunayopokea kutoka huko kwa wabaya unaowataja. Asilimia kubwa ya madawa, vifaa na hata silaha tunatoa kwao. Wangevitumia kutuangamiza kirahisi kabisa.

Acheni kuwapa watu vitisho visivyo na ushahidi wa kutosha.

Takwimu zinaonesha, idadi ya watu Afrika imekua na itaendelea kukua kwa kasi. Ingekuwa wametudunga sumu tungeona madhara yake waziwazi.
Mkuu as much as napenda kukuunga mkono ila nashindwa kureason na wewe eneo moja tu. Mbona kama upo so convinced kuwa tunawahitaji sana kwa kila kitu.

Its true kama hatuwezi kuishi bila kusaidiana au kusaidiwa. Its obvious sisi ni taifa changa sapoti kwetu ni muhimu. Ila si muda wote utalegeza misuli unapopatwa na tatizo utegemee kusaidiwa.

Ngoja nikupe tu siri moja. Hivi unajua ni race ipi inaongoza kwa idadi kubwa ya watu.

Unajua waafrika tupo wa ngapi dunia nzima roughly??!

Hivi unajua one of the most virgin continent ni ipi duniani ??!

Umeshajiuliza kwann wachina na mataifa mengine wanajifunza kiswahili kwa kasi sana?!

Je unajua hizi device nyingi kama simu, decoder, router, laptops and desktops, etc kutoka china ni vifaa maalumu vya kukusanya taarifa zetu na kuzifanyia kazi?! Bila kusahau social social media na network kama Facebook , whatsapp, Instagram etc ni agency za kukusanya taarifa zetu?!

Huwa nasikitika sana ninapokutana na mwafrika anae jitoa ufahamu kuamini jamii ambayo miaka kadhaa nyuma walikuwa ni wakoloni kwetu leo ghafla watakuwa walinzi wetu.
 
Kwahiyo wamekaa ku-conspire kukuua wewe kwa gonjwa na chanjo lakini gonjwa likatapakaa na kuwaua na wao kwa bahati mbaya sio?!? Na chanjo wakaanza kujichanja wao ili kukutega wewe tu mkuu. Haya nita-wake up!
tumia akili mkuu.

kipindi tuko jkt kuna afisa mkuu wa kambi ulikuwa ukikosea,anaanza yeye kujigaragaza kwenye matope na kubebba magogo,lengo ni......

sasa nyinyi watu hamtaki kabisa kutumia akili.
 
Mkuu as much as napenda kukuunga mkono ila nashindwa kureason na wewe eneo moja tu. Mbona kama upo so convinced kuwa tunawahitaji sana kwa kila kitu.

Its true kama hatuwezi kuishi bila kusaidiana au kusaidiwa. Its obvious sisi ni taifa changa sapoti kwetu ni muhimu. Ila si muda wote utalegeza misuli unapopatwa na tatizo utegemee kusaidiwa.

Ngoja nikupe tu siri moja. Hivi unajua ni race ipi inaongoza kwa idadi kubwa ya watu.

Unajua waafrika tupo wa ngapi dunia nzima roughly??!

Hivi unajua one of the most virgin continent ni ipi duniani ??!

Umeshajiuliza kwann wachina na mataifa mengine wanajifunza kiswahili kwa kasi sana?!

Je unajua hizi device nyingi kama simu, decoder, router, laptops and desktops, etc kutoka china ni vifaa maalumu vya kukusanya taarifa zetu na kuzifanyia kazi?! Bila kusahau social social media na network kama Facebook , whatsapp, Instagram etc ni agency za kukusanya taarifa zetu?!

Huwa nasikitika sana ninapokutana na mwafrika anae jitoa ufahamu kuamini jamii ambayo miaka kadhaa nyuma walikuwa ni wakoloni kwetu leo ghafla watakuwa walinzi wetu.
Mkuu, wala sikupingi. Nachopinga ni unafiki wa watu kuchagua kupinga chanjo pekee kana kwamba ndiyo silaha kubwa wanayotumia wenzetu kutumudu

Hivyo ulivyotaja vyote kuanzia teknolojia ya mawasiliano hadi uwekezaji vinatumika na wenzetu kwa maslahi yao pia. Tunapaswa kujenga uwezo wetu wa ndani kama nchi au kikanda kwa masuala ya kimkakati ili kulinda utu wetu siku za usoni.

Tunachokishuhudia ni unafiki wa kisiasa na kelele tupu bila ufumbuzi wa kisayansi. Watu tulifikia hali ya kukataa tatizo kwa kuamini kuwa halipo huku dunia nzima ikituona kituko.

Tuna vingi vya kurekebisha hasa kuanzia elimu yetu . Huduma za maji, afya na tafiti. Hizo rasilimali ilizotaja afrika hatutanufaika nazo kwa aina ya misingi na wanasiasa tuliyonao. Sehemu kubwa bara la afrika, Wanatutawala kupitia hawahawa viongozi wetu wala hawana haja ya kurudi tena huku
 
Akiendelea kubisha atakuwa ana mgao wake katika hili swala la chanjo chanjo za covid. Si kila raia ni mzalendo.
si bora awe na mgao utatufaa kwenye mzunguko wa pesa.huyo mbuzi na mwenzake humu ni wapuuzi wa kiwango cha juu kabisa.

hakuna jambo wanajadili bila kuingiza hisia zao za kisiasa.
 
Mkuu as much as napenda kukuunga mkono ila nashindwa kureason na wewe eneo moja tu. Mbona kama upo so convinced kuwa tunawahitaji sana kwa kila kitu.

Its true kama hatuwezi kuishi bila kusaidiana au kusaidiwa. Its obvious sisi ni taifa changa sapoti kwetu ni muhimu. Ila si muda wote utalegeza misuli unapopatwa na tatizo utegemee kusaidiwa.

Ngoja nikupe tu siri moja. Hivi unajua ni race ipi inaongoza kwa idadi kubwa ya watu.

Unajua waafrika tupo wa ngapi dunia nzima roughly??!

Hivi unajua one of the most virgin continent ni ipi duniani ??!

Umeshajiuliza kwann wachina na mataifa mengine wanajifunza kiswahili kwa kasi sana?!

Je unajua hizi device nyingi kama simu, decoder, router, laptops and desktops, etc kutoka china ni vifaa maalumu vya kukusanya taarifa zetu na kuzifanyia kazi?! Bila kusahau social social media na network kama Facebook , whatsapp, Instagram etc ni agency za kukusanya taarifa zetu?!

Huwa nasikitika sana ninapokutana na mwafrika anae jitoa ufahamu kuamini jamii ambayo miaka kadhaa nyuma walikuwa ni wakoloni kwetu leo ghafla watakuwa walinzi wetu.
Nachotaka kusema kwa ufupi, matatizo mengi ya kwetu ni ya sisi wenyewe zaidi , tunajazwa hofu ya adui aliyeko nje kuliko kushughulika na adui ujinga na umaskini tulio nao ndani.

Leo, wanasiasa wetu afrika wanaishi maisha tofauti tena ya anasa kuliko wale wa nchi zilizoendelea. Huku wananchi wakiogelea umaskini wa kutupa. Adui yetu mkuu yupo ndani tupasafishe kabla ya kumkabili adui wa nje mwenye nguvu maradufu. Vinginevyo tutaendelea kuwa debe tupu
 
Mkuu chanjo zingekuwa zinasaidia kuthibiti korona, India isingekumbwa na tatizo maana huko ndo makampuni ya madawa yamejikita yanayozalisha madawa na chanjo zinazotumika ulimwengu wa tatu...kuna utafiti ulioonyesha kwamba watu waliochanjwa kuzuia mafua (common cold) huko ulaya walikuwa na uwezekano mkubwa wa kuambukizwa na kupata dalili mbaya za ugonjwa wa korona, na hii kitaalamu wakaita 'vaccine induced enhancement of respiratory infection' Kwa hiyo utaona chanjo zinaweza kuleta shida moja kubwa ya watu kupoteza kinga ya asili kwenye mfumo wao wa upumuaji (pulmonary immunity) na kuishia kuwa watumwa wa chanjo.....nafikiri kama nchi hatuhitaji kufika huko...wazungu wanajua wanachokifanya, wanatengeneza fursa za kibiashara kwenye chanjo na madawa kwa ajili ya magonjwa wanayotengeneza wenyewe, kila mmoja anajua kinachofanyika kwenye HIV.....kwa hiyo ni bora serikali ikapunguza wenge.....
Hivi unajua kua Population ya India ni sawa na population ya watu waliopa bara lote la Africa? Wahindi wapo zaidi ya 1.3 Billion,

Sasa unajua ni asilimia ngapi ambao tayari wana chanjo ya Covid-19? Kutengeneza Vaccine na kuchanja watu 1.3B sio kazi ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom