Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Yaani hamstuki hata,dah! Ajabu sana.Itakua kama dawa ya minyoo , ama utumie kila baada ya miezi 6 au uache usitumie. Yote hiari yako, ikifika wakati huo maambukizi yatakuwa yamepungua maradufu kama sio kukaribia kwisha kabisa