Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Mkuu usisahau kupitia master link ifuatayo 👇carefully,ni muhimu sana at this time.Make sure you decide anything regarding the C-19 from an informed position.Remember that your decision will be a matter of life and death.Mkuu asante sana kwa huu uzi, najua wengi watapinga kwa ajili ya manufaa yao, kifupi mimi na familia yangu hatutachanja, kama ni kukosa huduma wacha tuzikose, kama ni nikuosa safari za kwenda nje ya nchi waache nizikose, mwishowe kuna siku hawa hawa wanotoa hizi dawa bure wataanza kuziuza na kwa kuwa walishaingiza virusi vyao kwenye miili yetu basi watatuaminisha na itakuwa hivyo kuwa ili uendelee kuishi fanya hivi kwa kutoa pesa kiasi fulani,wenzetu wanatajirika kwa kutumia teknolojia, muda si mrefu tunaweza ambiwa wale wote waliochanjwa itabidi wanununue chip na kuwekwa mwilini ndio uishi na huku tayari ushafanywa sawa tayari Faru John ambaye hata uende wapi utajulikana upo wapi na unafanya nini ,au tuzime hiyo chip na ufilie mbali.
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...