colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Habar zenu wakuu, natumai wote muko imara na mnazidi kupambana na hali zenu katika hii awamu ambayo Malaika tunawaona wakiishi kama Mashetani
Bila kupoteza mda leo nina suali nahitaji mawazo au maelekezo mawil matatu
Ni hivi kuna yeyote aliwahi kusikia au kujiunga na hii Bussiness Network inayoitwa Alliance In Motion (AIM Global Network Bussiness)? Kama yupo naomba maelezo , kuhusiana na hii kitu
Mimi nimeona sehemu wakiitangaza hio biashara so nataka kupata uhakika kuhusu hawa watu ili kama ni wapiga dili tu niwapotezee
Ahsantenii