Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,912
Habar zenu wakuu, natumai wote muko imara na mnazidi kupambana na hali zenu katika hii awamu ambayo Malaika tunawaona wakiishi kama Mashetani


Bila kupoteza mda leo nina suali nahitaji mawazo au maelekezo mawil matatu

Ni hivi kuna yeyote aliwahi kusikia au kujiunga na hii Bussiness Network inayoitwa Alliance In Motion (AIM Global Network Bussiness)? Kama yupo naomba maelezo , kuhusiana na hii kitu

Mimi nimeona sehemu wakiitangaza hio biashara so nataka kupata uhakika kuhusu hawa watu ili kama ni wapiga dili tu niwapotezee

Ahsantenii
 
Matapeli hao me nilishaisikia hadi kuhudhuria semina yao siku moja ni waongo sana wapiga dili
 
Bora uwekeze ktk kilimo mkuu hizi biashara za network marketing wana zipamba sana ila ukweli uijaaribu ndio uone
 
Embu uliza wa foreva living soli zimeisha story za Dubai wanazisikia tuu kwa wale mameneja tuu
Ni bora uje upange vitunguu hapa tandika kama Mimi mkuu,utapata kidogo kuliko kumaliza soli na tai shingoni
 
Wako pale makumbusho ...

Utapigwa lecture ya tree diagram hadi kichwa kiume mkuu...

Ila sikiliza moyo wako unataka nini maana tunatofoutiana.... ila kwa upande wangu nilisema hapana...
Duuh mkuu kuna jamaa ni among leader wa hio bussiness
Kani inspire sna yy yupo phillipines
Kaniambia niende nikaskiliz but kabla ya hpo nimekua intrested na product ambazo wana deal nazo
Hizo product zinaendana na profession yangu

Any way ngoja nione cost ya hizo product kama zitakua affordable
 
Kwanini members wanasumbus sana wanahangaika kupost na kupiga simu kila mara kama ni pesa kwanini wasifaidi wao wenyewe?
Sidhani kama kuna mtu anaweza kukulazimisha kufanya biashara yoyote but kinachofanyika ni Marketing of the Opportunity huu ni mfumo wa direct person to person Market mfumo ambao ni wa haraka kufanya masoko hata biashara yoyote ile ukiamua kuifanya kwa njia hii inaweza kukupa soko kwa haraka.
 
Ukona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa/mtaji wenyewe


Mbona kila siku tunaongea hapa
Kuna tofauti gani kati ya kushirikishwa kuwekeza kwenye Kampuni kama hii na Mmtangazo wanayotoa watu wa Makampuni kama Vodacom kushawishi watu kununua share ?.
 
Kwann nyie picha zenu mkipga huwa mmeshika pesa nyiiiingi au mna magari? Huon kama hiyo lugha ya picha ya ulaghai tu?
Sidahani kama kuna mpango wa limitation kama nini uweke na nini usiweke kwenye matangazo yoyote ya biashara. Kama ilivyo watu wanavyoweka magari au kushika fedha kwenye Matangazo mengine mengi kama nia ya kuonyesha nini mtu analenga kupata. Kama ingekuwa unapata miswaki, Bajaji.. ungeona picha za vielelezo hivyo
 
Hahaah kweli kwenye hela watu huwa hawaitani mkuu ni kimya kimya tu

Ndio maana huwezi ona watu wanaitana eti kwenye mgodi wa Madini dhahabu inatema njooni tupige hela
Main
Hivi ni kweli kuwa unapohiunga una make mkwanja wa milion 5 hadi 9 kwa week moja tu????
Earning is a progress earning thats much even more is the business plan(How the company compensate you). But sio kama unaanza na kuanza kulipwa that much we all start from the scratc then income ina increase more n more
 
Back
Top Bottom