colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
DuuhBora uwekeze ktk kilimo mkuu hizi biashara za network marketing wana zipamba sana ila ukweli uijaaribu ndio uone
Yaan nimepanga weekend hii jumamos niwasili katika semina yao ila mmh hatarMatapeli hao me nilishaisikia hadi kuhudhuria semina yao siku moja ni waongo sana wapiga dili
Yani bora utafute movie nzuri uangalie kuliko kwenda hukoYaan nimepanga weekend hii jumamos niwasili katika semina yao ila mmh hatar
Wako pale makumbusho ...Yaan nimepanga weekend hii jumamos niwasili katika semina yao ila mmh hatar
Duuh mkuu kuna jamaa ni among leader wa hio bussinessWako pale makumbusho ...
Utapigwa lecture ya tree diagram hadi kichwa kiume mkuu...
Ila sikiliza moyo wako unataka nini maana tunatofoutiana.... ila kwa upande wangu nilisema hapana...
Mikocheni Mwaikibaki Road ndipo Headquarter za Kampuni zilipo kwa Tanzania nduguHawa ndio Wa Filipino wa Mikocheni?
Ukona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa/mtaji wenyeweKwanini members wanasumbus sana wanahangaika kupost na kupiga simu kila mara kama ni pesa kwanini wasifaidi wao wenyewe?
Sidhani kama kuna mtu anaweza kukulazimisha kufanya biashara yoyote but kinachofanyika ni Marketing of the Opportunity huu ni mfumo wa direct person to person Market mfumo ambao ni wa haraka kufanya masoko hata biashara yoyote ile ukiamua kuifanya kwa njia hii inaweza kukupa soko kwa haraka.Kwanini members wanasumbus sana wanahangaika kupost na kupiga simu kila mara kama ni pesa kwanini wasifaidi wao wenyewe?
Kuna tofauti gani kati ya kushirikishwa kuwekeza kwenye Kampuni kama hii na Mmtangazo wanayotoa watu wa Makampuni kama Vodacom kushawishi watu kununua share ?.Ukona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa/mtaji wenyewe
Mbona kila siku tunaongea hapa
Sidahani kama kuna mpango wa limitation kama nini uweke na nini usiweke kwenye matangazo yoyote ya biashara. Kama ilivyo watu wanavyoweka magari au kushika fedha kwenye Matangazo mengine mengi kama nia ya kuonyesha nini mtu analenga kupata. Kama ingekuwa unapata miswaki, Bajaji.. ungeona picha za vielelezo hivyoKwann nyie picha zenu mkipga huwa mmeshika pesa nyiiiingi au mna magari? Huon kama hiyo lugha ya picha ya ulaghai tu?
Hahaah kweli kwenye hela watu huwa hawaitani mkuu ni kimya kimya tuUkona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa/mtaji wenyewe
Mbona kila siku tunaongea hapa
MainHahaah kweli kwenye hela watu huwa hawaitani mkuu ni kimya kimya tu
Ndio maana huwezi ona watu wanaitana eti kwenye mgodi wa Madini dhahabu inatema njooni tupige hela
Earning is a progress earning thats much even more is the business plan(How the company compensate you). But sio kama unaanza na kuanza kulipwa that much we all start from the scratc then income ina increase more n moreHivi ni kweli kuwa unapohiunga una make mkwanja wa milion 5 hadi 9 kwa week moja tu????