MJASI LIAMALI
Member
- Mar 26, 2018
- 18
- 5
Matapeli hao me nilishaisikia hadi kuhudhuria semina yao siku moja ni waongo sana wapiga dili
Utofauti wake tafadhaliForever living ni tofauti kabisa na Aim Global
Unapojiunga unapewa package ya products ambazo kama wew nia yako sio kuingiza watu basi unaweza fanya marketing ya products tu mkuu na ukatengeneza pesa bado kuliko hata anayetegemea watu kujoinKwanini nyinyi Alliance, msitangaze tu hizo products, mfanye marketing za products tu, kama watu watakuja kununua jumla ili nao wauze Hakuna neno... Ila tu isiwe lazima mtu ajiunge kisha atafute watu chini yake nao watafute watu chini yao....yaani chain hadi hukoooo.... Ina maana mtu anaingia akijiunga kwa gharama Fulani mafanikio yake ni kwa jinsi watakavyojiunga chini yake... La hawezi kupata mafanikio atabaki anabugia tu zile dawa chakula...ndio maana waliojoin wanahangaika kumarket kupata watu wa kujiunga zaidi ya kuuza bidhaa hizo...
Kila mtu anajinsi ya kutengeneza soko.. wengine hupiga picha wengine hawapigi. But trust me the products works for real and i distribute them in the best priceMimi marketing strategy yao ya mapicha picha ya kushika vibunda vya hela na magari hayanivutii sijui kwa wengine Mimi hainipi picha ya kunivutia kujoin nao, in fact product zao naweza nunua kwa vile zina maelezo mazuri fulani
Kama una package leta mimi nizinunue kwa price ya member i show you they are marketableHaya mambo yakubebeshana mamizigo yasiokuwa na soko kwa laki tano nani anayataka?
Kazi kubwa ya hawa jamaa ni kuwatamanisha watu
Forever Living Lazima uuze na lazima u maintain targets ili upate compensation.. But Alliance haina targetUtofauti wake tafadhali
Khaaa 😂😂😂😂 umenifurahisha sana saa million 5 wakati hata kiwanja huna si umasikini huuaise mtu anakufatilia miezi 6? ningemuitia polisi aisee ...pingu....ndani !!!
hivi hawa ndo wale wanasema ununue saa ya milioni 5 utapata milioni 5 ya ziada [emoji2][emoji2]
Kama hiyo alliance sijui niliudhulia mikutano yao pale makumbusho watu hawafanyi kazi wako business na hayo makampuni wengine wameacha kazi zao wengine wanafunzi wameacha masomo eti wapo full time alliance niliwashangaa sana aiseeYaani hayo makapuni siku hizi kila kona yapo aisee utapeli tu umejaa kazi kunufaisha mataifa ya wenzetu halafu sasa watu wanajiunga kwa bei kubwa mnoo kwanzia laki tano mpaka mamilioni ya pesa huko halafu mpaka uje kuona faida yake ufanye kazi kama mtumwa
Hapana sio utumwa. Kwasababu kila anayefata system mbona anamafanikio. Na mbona dawa zetu ni kweli zinaponyaYaani hayo makapuni siku hizi kila kona yapo aisee utapeli tu umejaa kazi kunufaisha mataifa ya wenzetu halafu sasa watu wanajiunga kwa bei kubwa mnoo kwanzia laki tano mpaka mamilioni ya pesa huko halafu mpaka uje kuona faida yake ufanye kazi kama mtumwa
Waweza mshangaa mtu anapofanya jambo ambalo yeye amaona manufaa na wwe huoni. So its human natureKama hiyo alliance sijui niliudhulia mikutano yao pale makumbusho watu hawafanyi kazi wako business na hayo makampuni wengine wameacha kazi zao wengine wanafunzi wameacha masomo eti wapo full time alliance niliwashangaa sana aisee
HahahahaaaaaaaHawa ndio Wa Filipino wa Mikocheni?
Hahahahaha wadau izo zote ni type za Network Marketing Industry. Unafanya if unapenda coz ni moja ya fast growing kwa sasa ikiwemo na cryptocurrencyHao cha mtoto, kuna hawa QNET ambao iwe asubui, iwe mchana, iwe jioni wao ni good morning. Ha ha ha, mtaji wao wa kujiunga sasa,
Nenda kajiunge na huu uchafu mkuu then baada ya mda uje na thread ya kulia.Hahahahaha wadau izo zote ni type za Network Marketing Industry. Unafanya if unapenda coz ni moja ya fast growing kwa sasa ikiwemo na cryptocurrency
Hao alliance wapuuzi tu rafiki yangu alijiunga ananiambia hakuna faida aliopata hukoNenda kajiunge na huu uchafu mkuu then baada ya mda uje na thread ya kulia.
Yani kama hii biashara ingekuwa na pesa serikali ya magufuli ingeshainvestPicha kama zote, bora nikalime kuliko kuibiwa hivyo kipuuziView attachment 918317View attachment 918319View attachment 918320View attachment 918321View attachment 918323View attachment 918324View attachment 918325View attachment 918326View attachment 918328View attachment 918329View attachment 918330View attachment 918331View attachment 918332View attachment 918333View attachment 918334View attachment 918335View attachment 918336View attachment 918337
Jamaa angu walimfuata hadi Nyumbani,wakaona ana Vitz Moja na Spacio moja.Wakamwambia jiunge Qnet umiliki BMW,jamaa akawajibu shit wakapotea,juzi kakutana na mmoja ya wale waliokuja kachoka kinomaHao cha mtoto, kuna hawa QNET ambao iwe asubui, iwe mchana, iwe jioni wao ni good morning. Ha ha ha, mtaji wao wa kujiunga sasa,