Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

Kwanini nyinyi Alliance, msitangaze tu hizo products, mfanye marketing za products tu, kama watu watakuja kununua jumla ili nao wauze Hakuna neno... Ila tu isiwe lazima mtu ajiunge kisha atafute watu chini yake nao watafute watu chini yao....yaani chain hadi hukoooo.... Ina maana mtu anaingia akijiunga kwa gharama Fulani mafanikio yake ni kwa jinsi watakavyojiunga chini yake... La hawezi kupata mafanikio atabaki anabugia tu zile dawa chakula...ndio maana waliojoin wanahangaika kumarket kupata watu wa kujiunga zaidi ya kuuza bidhaa hizo...
Unapojiunga unapewa package ya products ambazo kama wew nia yako sio kuingiza watu basi unaweza fanya marketing ya products tu mkuu na ukatengeneza pesa bado kuliko hata anayetegemea watu kujoin
 
Mimi marketing strategy yao ya mapicha picha ya kushika vibunda vya hela na magari hayanivutii sijui kwa wengine Mimi hainipi picha ya kunivutia kujoin nao, in fact product zao naweza nunua kwa vile zina maelezo mazuri fulani
Kila mtu anajinsi ya kutengeneza soko.. wengine hupiga picha wengine hawapigi. But trust me the products works for real and i distribute them in the best price
 
Haya mambo yakubebeshana mamizigo yasiokuwa na soko kwa laki tano nani anayataka?
Kazi kubwa ya hawa jamaa ni kuwatamanisha watu
Kama una package leta mimi nizinunue kwa price ya member i show you they are marketable
 
aise mtu anakufatilia miezi 6? ningemuitia polisi aisee ...pingu....ndani !!!
hivi hawa ndo wale wanasema ununue saa ya milioni 5 utapata milioni 5 ya ziada [emoji2][emoji2]
Khaaa 😂😂😂😂 umenifurahisha sana saa million 5 wakati hata kiwanja huna si umasikini huu
 
colin_morgan

Yaani hayo makapuni siku hizi kila kona yapo aisee utapeli tu umejaa kazi kunufaisha mataifa ya wenzetu halafu sasa watu wanajiunga kwa bei kubwa mnoo kwanzia laki tano mpaka mamilioni ya pesa huko halafu mpaka uje kuona faida yake ufanye kazi kama mtumwa
 
Kama hiyo alliance sijui niliudhulia mikutano yao pale makumbusho watu hawafanyi kazi wako business na hayo makampuni wengine wameacha kazi zao wengine wanafunzi wameacha masomo eti wapo full time alliance niliwashangaa sana aisee
 
Hapana sio utumwa. Kwasababu kila anayefata system mbona anamafanikio. Na mbona dawa zetu ni kweli zinaponya
 
Kama hiyo alliance sijui niliudhulia mikutano yao pale makumbusho watu hawafanyi kazi wako business na hayo makampuni wengine wameacha kazi zao wengine wanafunzi wameacha masomo eti wapo full time alliance niliwashangaa sana aisee
Waweza mshangaa mtu anapofanya jambo ambalo yeye amaona manufaa na wwe huoni. So its human nature
 
Hao cha mtoto, kuna hawa QNET ambao iwe asubui, iwe mchana, iwe jioni wao ni good morning. Ha ha ha, mtaji wao wa kujiunga sasa,
Hahahahaha wadau izo zote ni type za Network Marketing Industry. Unafanya if unapenda coz ni moja ya fast growing kwa sasa ikiwemo na cryptocurrency
 
Sasa nimepata kitu, kuna kadada ka Phillips kalikuwa kananisumbua sana kwenye messenger nikape namba ya WhatsApp, ili kanitumia hio kanaiita business presentation basi nikakapati, kakanitumia maelezo kibao na mapicha ya watu wenye magari, nikasoma, kisha nikamwambia anitumie kwa Kiswahili, mpk leo kimya. Utapeli tu, kwanza sina muda kupayuka panyuka kwenye madaladala eti Nauza dawa au kutembea kunuka jasho. Wakati kuna business nyingi tu hapa mjini, kamenifuatilia mpk mpk kametumia sijui niende kulipa pesa benki, sijui kamejuaje eneo ninaloishi
 
Picha kama zote, bora nikalime kuliko kuibiwa hivyo kipuuzi
IMG-20181031-WA0007.jpg
IMG-20181101-WA0008.jpg
IMG-20181031-WA0008.jpg
IMG-20181031-WA0009.jpg
IMG-20181031-WA0010.jpg
IMG-20181031-WA0011.jpg
IMG-20181031-WA0012.jpg
IMG-20181031-WA0013.jpg
IMG-20181031-WA0014.jpg
IMG-20181031-WA0015.jpg
IMG-20181031-WA0016.jpg
IMG-20181031-WA0017.jpg
IMG-20181031-WA0018.jpg
IMG-20181031-WA0019.jpg
IMG-20181031-WA0020.jpg
IMG-20181031-WA0005.jpg
IMG-20181101-WA0024.jpg
IMG-20181101-WA0025.jpg
 
Attachments

  • IMG-20181031-WA0009.jpg
    IMG-20181031-WA0009.jpg
    76.7 KB · Views: 63
Hao cha mtoto, kuna hawa QNET ambao iwe asubui, iwe mchana, iwe jioni wao ni good morning. Ha ha ha, mtaji wao wa kujiunga sasa,
Jamaa angu walimfuata hadi Nyumbani,wakaona ana Vitz Moja na Spacio moja.Wakamwambia jiunge Qnet umiliki BMW,jamaa akawajibu shit wakapotea,juzi kakutana na mmoja ya wale waliokuja kachoka kinoma
 
Back
Top Bottom