Marisa Marissa
Member
- May 13, 2013
- 59
- 11
Acha kukremu ndugu unahisi ningekujibu kitu hapa kama ningekuwa kama hivyo unavyowazaUnaweza ukaambiwa uende ofisini kwao kwa majibu zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukremu ndugu unahisi ningekujibu kitu hapa kama ningekuwa kama hivyo unavyowazaUnaweza ukaambiwa uende ofisini kwao kwa majibu zaidi.
Yani mpaka nimesikitika kwa izo fikra zako ndugu cha kwanza sikulaumu kwasababu vijana wengi tuna fikra ya kushindwa,na kutokuwezekana ndo maana ukiona aliyefanikiwa utaanza kumkosoa kwa kila namna badala ya kuuliza nini alifanya.[02/03 14:54] Tonny Montana: What have you achieved so far in network marketing
Alot
1. Kwanza nimweza kumsomesha mdogo wangu yupo cbe Dodoma certificate
2. I have shifted from home to dar while living in an apartment which I pay 700k my self sinza
3.i have hired a house girl whom I pay her 50k ever month
4. Me and my family are healthy because of the company products na juz tu last born wetu Kapona ulcers because of the products
5. I have managed to meet with Alot of people and create a big team from which even if I won't be around still I will receive my earnings
6. Am socially and financially free
Kama si utapeli ni nini swagger yao eti nataka acha kazi niwe full time. Bullshit MI demu namtaka tuu nimle mzigo
HAhahahahaha Daaaah umevamia mada asee. Alliance hakuna sabuni, mafuta wala dawa za meno. This is healthy and Wealthy companyHao unawapa hela wanakupa mitakatak fla hivi ya bidhaaa, eg mafuta, sabuni, dawa ya meno.
Unajua watu wengi hawana elimu
Ndio nyie nyie, wapo pale makumbusho, tapel sana jamaaa hawaHAhahahahaha Daaaah umevamia mada asee. Alliance hakuna sabuni, mafuta wala dawa za meno. This is healthy and Wealthy company
You dont know what I wroteYou don't knw what you are saying
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa/mtaji wenyewe
Mbona kila siku tunaongea hapa
aise mtu anakufatilia miezi 6? ningemuitia polisi aisee ...pingu....ndani !!!Wanasumbua na hawakati tamaa, kuna mdada ananifuatilia karibia miezi sita sasa na hajaacha kunitumia makorokocho yao, video, picha, matangazo, mialiko dah
Kama kawa!Kwann nyie picha zenu mkipiga huwa mmeshika pesa nyiiiingi au mna magari? Huoni kama hiyo lugha ya picha ya ulaghai tu?
Forever living nilijiunga aisee kwa sh. Elf 50 kipindi nipo chuo, na Mimi nikaunga watu wawili basi biashara ikaishia hapoEmbu uliza wa foreva living soli zimeisha story za Dubai wanazisikia tuu kwa wale mameneja tuu
Ni bora uje upange vitunguu hapa tandika kama Mimi mkuu,utapata kidogo kuliko kumaliza soli na tai shingoni
Forever living ni tofauti kabisa na Aim GlobalForever living nilijiunga aisee kwa sh. Elf 50 kipindi nipo chuo, na Mimi nikaunga watu wawili basi biashara ikaishia hapo
Kuna siku niliitwa tena weekend jumapili nkajua naitwa nikapige hela, basi kufika nikakuta wadau nikakaribishwa mbele kabisa, nikaanza kucheki movie zao nkashtuka maana mm ni akili kubwa, basi vijana wamechachamaa kwa maelezo yakiongozwa na kijana wa Kiganda ambaye anaonyesha picha za nyumba ambazo amedownload na magari ambayo yamefichwa plate no. Nilichokiona ni vijana wa chuo wamechukuliwa mateka kutoa semina kuhadaa raia waliokata tamaa, wamevaa suti mchapio na viatu vilivyoisha upande.
Kwanza hawa jamaa wanalaghai nchi ambazo watu wake wanauelewa mdogo kwahiyo hawawezi kumarket nchi za ulaya na America na isitoshe Amerika walishapiga marufuku biashara za namna hii tokea 1920.
Pili baada ya semina hawaruhusu maswali ya wazi yaani wanakuambia kama una maswali muulize aliyekuita, nikaona ni upuuzi nimepoteza mda halaf nimuulize maswali mtu ambaye hata sura ya 1mil haijui.
Tatu bidhaa wanaziuza kwa jumla yaan hupewi ruhusa ya kujaribu bidhaa moja.
Nne ni kwamba wamejikita zaidi kwenye utajiri na sio kutatua matatizo kwa bidhaa zao wanazodai ni tiba, sasa mwenye akili kubwa utajiongeza kama dawa inatibu pressure na kisukari kweli kweli kwann usitoe hata offer then baada ya matumizi akipima na akio nafuu ataleta wenzake wengi?
Mwenye uelewa ataelewa