Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
Index of /
Mkuu Chief-Mkwawa hii link imekufa, unaweza ku update kiongozi?

tumia hii hapa movie
http://dl5.nightsdl.com/Masih/Film

nimetest kudownload ip man 3 imekubali hapa, test nipe feedback
pia site hio hio ina
-animation hapa
http://dl5.nightsdl.com/admin/Animation
-top 250 movies hapa
http://dl5.nightsdl.com/admin/250-IMDB
-series hapa
http://dl5.nightsdl.com/TV.Show
 
Dayt.se hapa unapata latest movies na series HD kabisa..no cinema humu

Humu ndo nashusha movie zangu siku zote
 
Ni direct link ambapo unaweza download na browser au...?
 
Yap na browser unaweza hata kwa idm na torrent link zipo unafanya kuchagua tu
Ooh okay, na size ya movies zake ni sawa na hizi za kat.ph au inategemea na movie...?.
 
Kat size zipo nyingo had cinema zimejaa..ila dayt.se ni full HD mkuu yan 1080p ko tegemea movie nyingi kua not less than 1.5gb mana ni safi hakuna
 
Hiyo link inakubali kudownload tasks mbili tu, ukizidisha inaleta error 503.
Shida ya direct link hazina review kuhusu file husika...unaweza shusha movie kumbe ni CAM au saut haiko vizur...

Pia uta hustle kupata quality unayopenda wewe..

Na recommend www.dayt.se humu hakuna movie kimeo pia unapata review za file kutoka kwa watu walio download so this is better
 
Lakini si unaona kichwa thread kinavyosema ndugu...?.

Waweza ukaanzisha uzi ukaweka huko hiyo site mbona kuna topics nyingi tu zinaeleza ku-donwload movie kwa njia tofauti tofauti mkuu...?.

Lakini topic hii Chief-Mkwawa alisema kama kuna mwengine yoyote mwenye kujua direct link aweke akimaanisha thread iwe ina deal na direct link TU.

Kama una direct link tupia hapa ndio lengo na dhumuni ya thread husika kiongozi wangu mbona inaeleweka vizuri tu mkuu.

Tutupie direct link kama ni aina nyingine ya kushusha movie si mbaya ukianzisha uzi kuhusiana na hiyo site kiongozi.

Kuna mahala nimekosea au sijaeleweka...?. Ruksa kuuliza.

KARIBU SANA.
 
Mimi nmetoa recommendations kwa mdau hapo baada ya kupata shida kweny direct link

Lakini pia kwan vbaya tukiongelea weakness za directlink kweny thread yake husika?
 
Back
Top Bottom