Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Mkuu kwa upande wangu mimi huwa nasearch movies na files directly kupitia google kwa mfumo wa ftp index search...mfano nataka movie ya Batman vs Superman, naenda google then natype "Index of Batman vs Superman mp4"....Vitu muhimu ni 1. Kuandika Index of ili uweze kupata files kwenye ftp 2. baada ya kuandika jina la movie, nyimbo au file unalolitaka ni lazima umalizie na dizain ya format ya file unalolitaka(file format) mfano kwa videos mp4,mkv,mpg nk kwa nyimbo mp3, ogg nk
 
njia sahihi zaidi ni kuandika index of parent directory batman vs superman

hayo maneno manne index of parent directory yapo kwenye server nyingi. sema si zote zipo namna hii site kama getintopc, oceanofgames, oceanofapk hawatumii mfumu huo.
 
Mkuu mimi nashida ya kudownload audio productions softwares hasa fl studio na cubase ambazo sio demo, nimehangaika kwa torrents nimeshindwa au sijui nakosea wapi!! kwa hii link yako ya pc softwares vip iko vizuri mkuu? @chief_mkwawa
 
hapo pia utapata setup tu. umeshindwa nini torrent?
 
Mkuu mimi nashida ya kudownload audio productions softwares hasa fl studio na cubase ambazo sio demo, nimehangaika kwa torrents nimeshindwa au sijui nakosea wapi!! kwa hii link yako ya pc softwares vip iko vizuri mkuu? @chief_mkwawa

Umejaribu onhax mkuu ukaikosa...?.
 
the man anafanya kazi nzuri ya kuwaelimisha na kuwasaidia watu. nlidhan kwa wenye dada hata wangetumia nafasi hii kumpatia mchumba/mke kama hajaoa. hakuna aliyetoa offer kama hiyo kwa huyu ndugu yetu?
 
vitabu vyote vya Robert Kiyosaki

mfano
1.Increase your financial IQ
2.Rich dady poor dady
3.Why A work for C

rich dady poor dady
-audio book
Index of /Audio/Robert Kiyosaki/Rich Dad Poor Dad

hio link ya juu inayo ebook yake
Index of /books2/Robert Kiyosaki/Rich Dad, Poor Dad (24293)

why A work for C
kipo torrent hapa
Download Why A Students Work for C Students - Robert Kiyosaki.epub Torrent - Kickass Torrents

tumia zbigz kukishusha mara moja kama huna torrent

increase your financial IQ
kama juu
Download Kiyosaki, Robert Toru & Lechter, Sharon L.-Rich Dads Increase Your Financial IQ - epub - zeke23 Torrent - Kickass Torrents
 
Back
Top Bottom