The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
Index of /
Mkuu Chief-Mkwawa hii link imekufa, unaweza ku update kiongozi?
Ni direct link ambapo unaweza download na browser au...?Dayt.se hapa unapata latest movies na series HD kabisa..no cinema humu
Humu ndo nashusha movie zangu siku zote
Yap na browser unaweza hata kwa idm na torrent link zipo unafanya kuchagua tuNi direct link ambapo unaweza download na browser au...?
Ooh okay, na size ya movies zake ni sawa na hizi za kat.ph au inategemea na movie...?.Yap na browser unaweza hata kwa idm na torrent link zipo unafanya kuchagua tu
Kat size zipo nyingo had cinema zimejaa..ila dayt.se ni full HD mkuu yan 1080p ko tegemea movie nyingi kua not less than 1.5gb mana ni safi hakunaOoh okay, na size ya movies zake ni sawa na hizi za kat.ph au inategemea na movie...?.
nimeingia sio direct link wanahost kwenye site kama mega, mail.ru nkDayt.se hapa unapata latest movies na series HD kabisa..no cinema humu
Humu ndo nashusha movie zangu siku zote
Direct Links Mega Thread 2x0x1x5.nimeingia sio direct link wanahost kwenye site kama mega, mail.ru nk
Yap hawa install kweny server zao but nafkir ni nzur coz server zina highest speed na pia idm inahusika sana.nimeingia sio direct link wanahost kwenye site kama mega, mail.ru nk
Shida ya direct link hazina review kuhusu file husika...unaweza shusha movie kumbe ni CAM au saut haiko vizur...Hiyo link inakubali kudownload tasks mbili tu, ukizidisha inaleta error 503.
Shida ya direct link hazina review kuhusu file husika...unaweza shusha movie kumbe ni CAM au saut haiko vizur...
Pia uta hustle kupata quality unayopenda wewe..
Na recommend www.dayt.se humu hakuna movie kimeo pia unapata review za file kutoka kwa watu walio download so this is better
Mimi nmetoa recommendations kwa mdau hapo baada ya kupata shida kweny direct linkLakini si unaona kichwa thread kinavyosema ndugu...?.
Waweza ukaanzisha uzi ukaweka huko hiyo site mbona kuna topics nyingi tu zinaeleza ku-donwload movie kwa njia tofauti tofauti mkuu...?.
Lakini topic hii Chief-Mkwawa alisema kama kuna mwengine yoyote mwenye kujua direct link aweke akimaanisha thread iwe ina deal na direct link TU.
Kama una direct link tupia hapa ndio lengo na dhumuni ya thread husika kiongozi wangu mbona inaeleweka vizuri tu mkuu.
Tutupie direct link kama ni aina nyingine ya kushusha movie si mbaya ukianzisha uzi kuhusiana na hiyo site kiongozi.
Kuna mahala nimekosea au sijaeleweka...?. Ruksa kuuliza.
KARIBU SANA.
Mkuu mbona inachukua muda mrefutumia hii hapa movie
Index of /Masih/Film/
nimetest kudownload ip man 3 imekubali hapa, test nipe feedback
pia site hio hio ina
-animation hapa
Index of /admin/Animation/
-top 250 movies hapa
Index of /admin/250-IMDB/
-series hapa
Index of /TV.Show/
nimetest baada ya hii comment yako napata speed ya kawaida kama ninayopata siku zote, unapata speed ngapi? umewahi kudownload movie za hd kabla?Mkuu mbona inachukua muda mrefu