Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
Hatimae nimefanikiwa mkuu, program yenu iko poa sana, napata movie na series yoyote ninayotaka, nawashukuru sana.Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimae nimefanikiwa mkuu, program yenu iko poa sana, napata movie na series yoyote ninayotaka, nawashukuru sana.Karibu sana
Karibu sana Emmanuel nemes usisahau ku-like uzi huuHatimae nimefanikiwa mkuu, program yenu iko poa sana, napata movie na series yoyote ninayotaka, nawashukuru sana.
Sawa mkuuKaribu sana Emmanuel nemes usisahau ku-like uzi huu
Habari king of the North hiyo mara nyingi ina sababishwa na wingi wa Link hivyo inafanya app ina crush, kusuluhusha hiyo link zikianza tu kutoka chagua link moja yoyote alafu fanya kama una play hiyo movies au series kwa sekunde tano kisha bofya kitufe cha back na utakuta link zote zimesha load. Hope this help!Nime downlod..Kila nikifika Step Ya Kuchagua Aina Ya HD ina rudi Nyuma.Tatizo Ni nn?
Kwa namna moja ama nyingine wengi wetu tunapenda filamu (Movies) au Tamthilia (Series) na kama wewe ni mmoja wa wengi hao basi hii ni kwaajili yako. Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia Movies mpya au Series ambazo hata hazijafika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, moja kwa moja twende tukaanze mafunzo yetu.!
LINK MAALUM
1. Download App ya Movies Hapa Download Terrarium TV-Premium-1.5.6.apk
(UPDATE ya Toleo Jipya la App ya Movies Download Terrarium TV-Premium-1.5.7.apk)
2. Download Download Manager Hapa Download Download Accelerator Plus v20170319 Premium APK.apk
3. Download MX Player Hapa MX Player - Android Apps on Google Play au Kupitia Play Store Tafuta "MX Player"
4. Maelezo Zaidi hapa Jinsi ya Kudownload Movies na Series Mpya Kupitia Simu Yako
Kama makala hii imekusaidia unaweza ku like na kucomment hapo chini kama una swali lolote au kama kuna mahali umekwama. Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja yote ya teknolojia kwa njia ya video.
Karibu sana agadinhoNdaga fijo
Sasa iko season 2 na inaendela episode ya 8Into the badlands, hii kitu sijaelewa, imeishia Season ya ngap?
Ok, hivi Season one imeishia Episode ya ngapi?Sasa iko season 2 na inaendela episode ya 8
Nami nilitaka kuuliza hivi ila naona hujajibiwa!Una download zote au unachagua Moja?
Mara nyingi hiyo inasbabishwa na link ku-expire ni muhimu kujitahidi kudownload movie au series ndani ya masaa 24 au pungufu ya hapo.Hii Imekaaje Hapa..Movie Au Series kwenye Download kule.Ukiweka Pause Baada ya muda inashidwa Kuendelea Ilipo ishia?