Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Kwa namna moja ama nyingine wengi wetu tunapenda filamu (Movies) au Tamthilia (Series) na kama wewe ni mmoja wa wengi hao basi hii ni kwaajili yako. Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia Movies mpya au Series ambazo hata hazijafika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, moja kwa moja twende tukaanze mafunzo yetu.!

LINK MAALUM
1. Download App ya Movies Hapa Download Terrarium TV-Premium-1.5.6.apk
(UPDATE ya Toleo Jipya la App ya Movies Download Terrarium TV-Premium-1.5.7.apk)
2. Download Download Manager Hapa Download Download Accelerator Plus v20170319 Premium APK.apk
3. Download MX Player Hapa MX Player - Android Apps on Google Play au Kupitia Play Store Tafuta "MX Player"

Kama makala hii imekusaidia unaweza ku like na kucomment hapo chini kama una swali lolote au kama kuna mahali umekwama. Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja yote ya teknolojia kwa njia ya video.

Nakumbuka the @Bold aliwahi kuweka uzi unao shabihiana na huu, na mwisho aliishia kupigwa ban tu
 
Maelezo yanajitosheleza lkn mbona nimeshindwa kudownload.
 
Mkuu naona ungetupa instructions zaidi, binafsi nimefanikiwa kuinstall na imekubali pamoja na kuleta option ya movies na series nyingi tuu, ila namna ya kudowload hamna instructions
 
Mkuu naona ungetupa instructions zaidi, binafsi nimefanikiwa kuinstall na imekubali pamoja na kuleta option ya movies na series nyingi tuu, ila namna ya kudowload hamna instructions
Asante Emmanuel nemes kwa kupitia uzi huu, kama unataka maelezo zaidi tembelea ukurasa huu tume elezea vizuri kabisa pia unaweza kuangalia hapa kama utakuwa umekwama. Kama bado utakuwa umekwama tafadhali tuandikie maoni yako kwenye uzi huu nasi tutakujibu. Enjoy!
 
Sawa wataalamu wetu Tanzania tech, ngoja niingie hko na kama nikikwama tena nitarudi kuomba msaada.
 
Back
Top Bottom