Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha pole mkuu i feel your pains..i was once there like younyie mnaotumia android mna raha mno ngoja nisubiri nokia 6 iingie bongo nirudi zangu android,huku window phone nitabaki katika mambo ya office tu
Kwa namna moja ama nyingine wengi wetu tunapenda filamu (Movies) au Tamthilia (Series) na kama wewe ni mmoja wa wengi hao basi hii ni kwaajili yako. Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia Movies mpya au Series ambazo hata hazijafika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, moja kwa moja twende tukaanze mafunzo yetu.!
LINK MAALUM
1. Download App ya Movies Hapa Download Terrarium TV-Premium-1.5.6.apk
(UPDATE ya Toleo Jipya la App ya Movies Download Terrarium TV-Premium-1.5.7.apk)
2. Download Download Manager Hapa Download Download Accelerator Plus v20170319 Premium APK.apk
3. Download MX Player Hapa MX Player - Android Apps on Google Play au Kupitia Play Store Tafuta "MX Player"
Kama makala hii imekusaidia unaweza ku like na kucomment hapo chini kama una swali lolote au kama kuna mahali umekwama. Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja yote ya teknolojia kwa njia ya video.
Yaelekea unapenda sana drama....[emoji13] [emoji13] [emoji13]mbona series za kikorea hazipo
Umewama kudownload nini 92browMaelezo yanajitosheleza lkn mbona nimeshindwa kudownload.
Jaribu tena mkuu mi nimeweza kwa kutumia hayo maelezoMaelezo yanajitosheleza lkn mbona nimeshindwa kudownload.
Asante Emmanuel nemes kwa kupitia uzi huu, kama unataka maelezo zaidi tembelea ukurasa huu tume elezea vizuri kabisa pia unaweza kuangalia hapa kama utakuwa umekwama. Kama bado utakuwa umekwama tafadhali tuandikie maoni yako kwenye uzi huu nasi tutakujibu. Enjoy!Mkuu naona ungetupa instructions zaidi, binafsi nimefanikiwa kuinstall na imekubali pamoja na kuleta option ya movies na series nyingi tuu, ila namna ya kudowload hamna instructions
Sawa wataalamu wetu Tanzania tech, ngoja niingie hko na kama nikikwama tena nitarudi kuomba msaada.Asante Emmanuel nemes kwa kupitia uzi huu, kama unataka maelezo zaidi tembelea ukurasa huu tume elezea vizuri kabisa pia unaweza kuangalia hapa kama utakuwa umekwama. Kama bado utakuwa umekwama tafadhali tuandikie maoni yako kwenye uzi huu nasi tutakujibu. Enjoy!
Karibu sanaSawa wataalamu wetu Tanzania tech, ngoja niingie hko na kama nikikwama tena nitarudi kuomba msaada.