Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Nime downlod..Kila nikifika Step Ya Kuchagua Aina Ya HD ina rudi Nyuma.Tatizo Ni nn?
Habari king of the North hiyo mara nyingi ina sababishwa na wingi wa Link hivyo inafanya app ina crush, kusuluhusha hiyo link zikianza tu kutoka chagua link moja yoyote alafu fanya kama una play hiyo movies au series kwa sekunde tano kisha bofya kitufe cha back na utakuta link zote zimesha load. Hope this help!
 
Mara ya kwanza mwka jana kutumia terrerium tv nilijiuliza maswal mengi hiv walikua wap siku zote,,kiukwel anaeshindwa kutumia app hii kwa kuwatch au kudownloud movie na series atapata shida sana kwenye app nyingine
 
Ndaga fijo
 
Hii Imekaaje Hapa..Movie Au Series kwenye Download kule.Ukiweka Pause Baada ya muda inashidwa Kuendelea Ilipo ishia?
Mara nyingi hiyo inasbabishwa na link ku-expire ni muhimu kujitahidi kudownload movie au series ndani ya masaa 24 au pungufu ya hapo.
 
Maswali:

Terrerium yenyewe inadownload jee hii imekaaje kuhusu uonekane wa picha. Picha nzuri lazima zenye hd tu nyengine hazina.

Ni link ipi itakua ina vision nzuri na hd tupe ujanja ndugu.

Ila ahsante nimezinduka sasa naweza kudownload ila nijibu masuali yangu kabla zijaweka maGb yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…