Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Shortcut ya kusolve ni kwenda safe mode tena kisha kurestore pc kwa tarehe ya zamani kabla tatizo halijaanza.Mkuu wakati nimemamaliza kudownload exe ya malbytes ilikuwa na icon yake fresh tu, but ikikaa kidogo baada ya kudownld inaharibika, hata icon inapotea na exe ynyw inakuwa invalid
Ngoja nitajaribu hii, halafu restore point unachagua tarehe yoyote ya mwanzo!?Shortcut ya kusolve ni kwenda safe mode tena kisha kurestore pc kwa tarehe ya zamani kabla tatizo halijaanza.
Kwa hilo exe kuwa invalid nahisi kama kirusi kimebadili program ya kufungulia exe. Umejaribu kwenda local disk c kisha program files kisha ukatafuta program husika na kuifungulia kwa kule?
Hii series imenipita, ila watu kadhaa nimekutana nao wanaisifu sana.. cha ajabu hawasemi ikoje wanasema tu bonge la series ..Aisee nice, mbona hukututaarifu mapema
Ngoja nishushe house of cards season 6 [emoji108][emoji41]
Aisee hata mimi binafsi sikutegemea kama nitaipenda..Hii series imenipita, ila watu kadhaa nimekutana nao wanaisifu sana.. cha ajabu hawasemi ikoje wanasema tu bonge la series ..
Hebu nipe ABC ya hii muvi nipate mzuka mkuu. Inahusu nini?
Ads ndiyo niniJust google
indexof: jina la movie unayotaka
Mfano
Indexof: den of thieves
Ikifunguka chagua link ya pili au ya tatu itakuletea movies wewe ni kuchagua unayotaka na kuidondosha kiurahisi kabisa bila kufunguka funguka kwa ads.
Ahsante mkuu, nitaipakua keshokutwa. Nikienda kwenye Wi-Fi ya bure.Aisee hata mimi binafsi sikutegemea kama nitaipenda..
Inahusu politics, corruption, intelligence, propaganda, mapenzi pia yamo.. All the things politicians do to stay in power, all the things politicians do kuwanyamazisha watu wanaotaka kuvujisha siri zao. Ni nzuri sana.
Huyo rais wa US anaitwa Frank Underwood ni hatari [emoji23], kila muda anakwaruzana na rais wa Russia.
Underwood pia yuko vizuri ku manipulate hata wafanyakazi wake wa karibu ndani ya Whitehouse wasimsaliti, wakimsaliti anawatisha wazi wazi aidha kuwapoteza au kuvujisha siri zao au kuwaondoa madarakani, hatari
Nimetokea kuipenda kwa kweli ingawa sipendi siasa
Ni kweli mkuu "Ni bonge la movie" acha!!Hii series imenipita, ila watu kadhaa nimekutana nao wanaisifu sana.. cha ajabu hawasemi ikoje wanasema tu bonge la series ..
Hebu nipe ABC ya hii muvi nipate mzuka mkuu. Inahusu nini?
Sasa si uweke links mkuu
MatangazoAds ndiyo nini
thanks sana mkuu,hii njia ni nzuri na rahisi,nashukuru sana mkuu kwa kushare
Matangazo ya google..Ads ndiyo nini