dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
nimejarib kuisachi, ni film ya ki les+bian aisee , uko serious ?mkuu nimeitafuta karibia kwote uko sijaipata nimetumia pia flud &torrent search ila naambulia patupu aise#fanya kama unanisaidia na wewe kusearch mkuu ili niipakue #link
Kiukweli ilikuwa tabu sana kwa miaka miwil hivi.... dah! sie wazee wa kitonga tumefurahishwa sana na hili swala😀😀Imagine maisha bila Torrent!
Mkuu nimehamasika kutaka kuiona mimi mpenzi wa movies saaana ila hii nimeitafuta bila mafanikio #nipo serious mkuu.Nimejarib kuisachi, ni film ya ki les+bian aisee, uko serious?
Jaribu kat.how au kat.li
Nimejarib kuisachi, ni film ya ki les+bian aisee , uko serious ?
Kuna nyingine na yenyewe ya kutoka kenya inahusu terrorist issues# Watu Wote: All of usNilikuelewa vibaya mkuu.
Hiyo ngoja nijaribu kuitafuta.
Original kat haijarudi mpaka leo na ni offline isipokuwa waliokuwa mamoderators wa kickass walianzisha katcr.co hizo zingine ni mirrors sites.izo ni redirect sites mkuu, awa jamaa wana extensions kama mia, ikiwa down hii ile inapiga mzigo,same applies to piratebay
piratebay.com is down ila thepiratebay.org ipo up and running , different domains/extensions ila contents za web files ni ZILE ZILE
natumia KickassTorrents is back for years now, ambayo sio 'original' kama mnavyodai, like i said before, tofauti ni domain na extension tu, contents ni sawa , ndio maana sioni maana ya neno 'original' hapaOriginal kat haijarudi mpaka leo na ni offline isipokuwa waliokuwa mamoderators wa kickass walianzisha katcr.co hizo zingine ni mirrors sites.
We mbongo kwakua huweki credit card credentials huwezi kuona madhara ya identity theft...umeona diclaimer hiyo"Before you download, search, or do anything online: PLEASE protect your online privacy. Stop ISPs and Hackers Logging Your IP and Everything You Do " unaweza kuta card yako inanunulia mabom syriaNatumia KickassTorrents is back for years now, ambayo sio 'original' kama mnavyodai, like i said before, tofauti ni domain na extension tu, contents ni sawa , ndio maana sioni maana ya neno 'original' hapa
Kuwa na function sawa na muonekano sawa hakufanyi kuwa hiyo kat. Tovuti uliyoweka ni mirror site ya iliyokuwa kat.natumia KickassTorrents is back for years now, ambayo sio 'original' kama mnavyodai, like i said before, tofauti ni domain na extension tu, contents ni sawa , ndio maana sioni maana ya neno 'original' hapa
iyo disclaimer ipo kwenye iyo mnayoiita 'original'we mbongo kwakua huweki credit card credentials huwezi kuona madhara ya identity theft...umeona diclaimer hiyo"Before you download, search, or do anything online: PLEASE protect your online privacy. Stop ISPs and Hackers Logging Your IP and Everything You Do " unaweza kuta card yako inanunulia mabom syria
Original kat haijarudi mpaka leo
kubadilisha domains hakutoi umiliki wa web kuwa yako ama la.ninapokataa ni hapa uliponena mkuu
piratebay.com ipo down
sasa inapatikana kwa thepiratebay.org
apa utasema ya kwanza ni original ?
yaani kitendo cha kuamisha mafaili kwenda kwa domain nyingine ndio kusema hii ya domain ya pili sio 'original' ?
jee 'piratebay' haijarudi mpaka leo kwakua piratebay.com haipatikani ?
kubadilisha domains hakutoi umiliki wa web kuwa yako ama la.
Mfano kickasa pindi ipo live ilikuwa inabadili domains mara mara huku Artem Vaulin na mamoderators wakiwa na wahusika wakuu.
Mirror sites ambayo umeiweka una uhakika kuwa Artem Vaulin na timu yake ndio wahusika kwamba wamehamisha directory kwenye server nyingine?
Nadhani ujanielewa, kubadili domains website zinabadili hasa hizo torrents site.