kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Wataalamu natumaini wazima humu,
Nashindwa kudownload movies kabisa wakuu, nimefuatilia thread nyingi humu jinsi ya kudownload movies napo nimechemka, sijui kichwa kigumu. Kuna mtu akanambia niingie u torrent nadhani sasa kila nikiingia kupitia google zinakuja nyingi najaribu kufuatilia nakuta yanakuja mambo mengine tu mengi mengi mwisho nachemka.
Nimeona nije hapa ili nipate msaada step by step hadi niweze kudownload movies namimi. Natumia Computer, MSAADA WAUNGWANA NAMI NIFAIDI MOVIES.