Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Jamani mwenye link ya movie ya eastern condors anisaidie maana nime Google mpka basi
 
Ingia safar search kupitia google, tutuapp verify iyo application. Ukifungua itafunguka kama app store utasearch popcorn, au utakayoipenda showbox pro, una ipakua unakula movie kama kawaida
 
Ingia safar search kupitia google, tutuapp verify iyo application. Ukifungua itafunguka kama app store utasearch popcorn, au utakayoipenda showbox pro, una ipakua unakula movie kama kawaida

ahsante kwa msaada nimeipakua tayari sasa napata changamoto ya ku verify maana ukiingia setting>general> siioni profile au trust kwa kuverify
 
Hii ndiyo best kuliko zote huna haja yakwenda playstore, kwanza ina MB chache hazizidi 300 na picture yake ni Quality unaweza icheki kwa search movie uipendayo na ukaipakua www.fzmovies.net
 
Mmetisha
nimejaribu ya mleta thread na hiyo ya fzmovie zipo poa
 
Just google

indexof: jina la movie unayotaka

Mfano

Indexof: den of thieves

Ikifunguka chagua link ya pili au ya tatu itakuletea movies wewe ni kuchagua unayotaka na kuidondosha kiurahisi kabisa bila kufunguka funguka kwa ads.

Ahsante kwa kushare
 
Back
Top Bottom