Vidmate na Computer si mpaka aweke maSimulator, amesema anatumia Computer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ahsante,ila nina swali. hiyo IDM ili nidownload naisearch tu kupitia google au? na ipi ndo yenyewe maana ukiandika IDM zinakuja nyingi sanaHabari yako.
Zipo njia mbili za kudownload movie kwa PC.
1-Torrent
2-Direct download
Torrent- kwa njia hii lazima uinstall software za torrent kama vile, bitspirit, utorrent n.k.
Kisha tembelea website zinazotoa huduma ya torrents . Ubaya ni kwamba website nyingi za movie za torrent zilifungiwa (inawezekana zipo ila sizijui) , ila kwa upande wa SERIES) website za torrent zipo nyingi tu mfano eztv n.k.
Kwa urahisi ukitembelea hiyo website ukifika kwenye movie/episode unataka bonyeza kialama cha sumaku fasta tu inaunganisha kwenye software yako ya torrent.
Raha ya torrent: unaweza weka hata movie/episode 20 zikawa zinadowbload kwa pamoja ni bando lako tu. Na pia internet ikikata inakua hupotezi kitu. Yaani internet ikirudi mzigo unaendelea kushuka. (naipendela sana nikiwa busy)
Direct Download- Hizi zipo style mbili
1-kudownload direct link iliyopo kwenye website(mimi situmii maana nakua sina hakika na ubora wa file)
2-kudownload kwa kucapture video kwa kutumia IDM (kwangu mimi ndio the best kuliko torrent)
Kudownload direct kwa direct link hii ukienda kwwnye website husika utaona link zinazokuongoza hivyo click mzigo unashuka (siipendi ndio mana hata website zake sizijuo vizuri)
Download kwa kucapture linl ya video -naipenda sana na ni simple.
Download IDM , install na kisha install browser intergration yake. Ukimaliza restart browser. Sasa hapo unaingia web kama 1movies.se kisha unachagua movie tena yenye logo ya HD kisha unaiplay. Ukiplay tu utaona kijidubwasha cha IDM kinakuuliza kama unatala kudownload video. Unakaclick basi hapo katakuuliza quality hani unataka 720/480 n.k format inakuwepo TS na MP4 .raha ya hii ukiwa na internet yenye speed movie ni dakika 30 tu. Ila udhaifu wake huwezi download vitu vingi kwa pamoja na pia sometime inaweza isikubali kuendelea iwapo internet itakata (ila ni mara chache)
Nadhani kidogo umepata mwanga
Kama hujaelewa au una maswali uliza.
Kama unahitaji more clarification
Nicheki 0745090905
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikitaka kudownload hiyo UTORRENT AU BITTORRENTS nafanyeje? (samahan sio mtaalamu kabisa wa haya mambo)Awali palikuwa na torrents nyingi sana za wazi/bure(free),mojawapo ni KICKASS TORRENTS(nadhani imefungwa baada ya mmiliki kukamatwa(nliskia taarifa hizo)....hata hivyo kuna nyinginezo zilibaki ama zilikuwepo kama matawi mfano,PIRATE BAY ambayo wakati mwingine huzingua kudowload torrents zake mpaka ku-log in n.k(kwa uzoefu wangu)
Sasa katika pitapita zangu nikaipata hii torrent link ya PIRATE BAY ambayo unadownload free...
Link ni hii
HATUA ZA KUDOWNLOAD MOVIE/SERIES/music/app/books n.k
1.download UTORRENTS AU BITTORRENTS na u-install kwenye PC yako
2.Ingia google au search engine yoyote(operamini n.k) na u-search Knaben database,fungua link ya kwanza kabisa(ina link kama hii https://www4.knaben.cc/)
3.baada ya kufungua,ingia sehemu ya ku-search na uandike jina la movie au series unayoitaka
4.ikija orodha ya movie/series nyiingi,chagua ile yenye uwezo(Mb) unazoweza kumudu kisha ifungue(click)
5.ikishafunguka, nenda hadi palipoandikwa "GET THIS TORRENT" halafu click na usubiri sekunde kadhaa utaona inakuuliza iwapo utapenda kutumia (UTORRENT AU BITORRENT moja kati hizo kama ulivyo-install),weka tiki(vema) kwenye kabox kisha subiri U/bitorrent ifunguke.
6.U/Bitorrent ikishafunguka itakuonesha pahala pa kuchagua pakuhifadhia/ku-download (yaani disk ipi uhifadhi hicho unachodownload, mf. Local disk C au E au kwenye external yako ambayo itatokea jina lake au herufi kama H n.k)
7.Baada ya ku-click,hapo utaona inaanza ku-download na ikimaliza uta-right click upate options haswa ya kustop ambapo itaonesha finished.
Hivyo ndivyo ninavyoelewa mimi.
NB-ukihitaji maelezo kwa picha,baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ya kuinstall hiyo u Torrent sasa ndo tatizo, nikienda google nazikuta nyingi nikifuatilia naona bado nashindwa tuwww.thepiratebay.org
Hapo kuna kila kitu, kuanzia software hadi movie zote utapata. Lazima uwe ume install uTorrent kwenye PC yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ahsante,ila nina swali. hiyo IDM ili nidownload naisearch tu kupitia google au? na ipi ndo yenyewe maana ukiandika IDM zinakuja nyingi sana
Mkuu ahsante,ila nina swali. hiyo IDM ili nidownload naisearch tu kupitia google au? na ipi ndo yenyewe maana ukiandika IDM zinakuja nyingi sana
Hii nimefanikiwa mkuuSasa fanya hivi ingia katika browser unayotumia andika Vuze download itakuja download /run itajiinstall baada yakuwepo katika computer yako fanya haya tafuta movies download ukipata unachukua URL LINK una paste katika hiyo Vuze au tafuta IDM uweke itakuwa inafanya automatic soon nakupa uzi wenye site za movie
Ingia hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/download-links-kdrama-movies-tv-shows-others.11579279/
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante mzee, kama nitakwama sehemu nitarudiLink ya IDM hiyoDownload the latest free trial version of Internet Download Manager
Download the latest version of Internet Download Manager and use it for 30 days for freewww.internetdownloadmanager.com
Thank you for Downloading µTorrent (uTorrent)
Wait for your µTorrent download to finish, then install. If your µTorrent download does not start automatically, please try again.www.utorrent.com
Link ya utorrent hiyo
Link ya bitspirit
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maalumu kwa computer mkuu maana me nataman sana kupata App nzuri isio na mambo mengiDownload kitu kinaitwa bitlord then install mkuu utarudi kunishukuru.
Very simple and clear
Sent using Jamii Forums mobile app