Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

EXTRATORRENTS.CC ni kiboko ya websites zote kwani movies mpya zote utazipata kule,series na documentaries zinapatikana ila tatizo ni kwamba Unapo-download movie inatakiwa u-hide IP ADDRESS kwani inakua inaonekana na wenye haki miliki hivyo Unaweza kumbana na mambo ya LAW SUITS.Wataomba msaada kwenye mtandao unaotumia na kuijulisha serikali ili ukamatwe kwaajili ya mashtaka. Kwa ushauri wangu tumia TORRENTZ2SEARCHTORRENTZ ndiko sehemu salama zaidi kudownload movie japo wanachelewa kidogo ku upload movie mpya inapokua imetoka au tumia YTS kudownload movies
 
Wadau kama umewahi kushindwa kudownload kutoka rapidshare kwa kukosa premium account,sasa waweza kufanya hivyo bila hata registration.
Kuna weakness ambayo ipo katika website ya rapidshare ambayo kipitia google unadownload for free kutoka katika one of the largest file hosting website.

Njia yenyewe ni hii:
(ukiwa tayari unafahamu jina la softaware, movie au document file unalotaka) Andika jina la kitu unachotaka kudownload kutoka rapidshare (kwenye google search box) uongeze na moja kati ya hizi sentensi; 'rapidshare download', 'rapidshare download links' au 'rapidshare links' kisha usearch.

Katika results zako, utaletewa page zenye link za rapidshare,fungua hizo page kisha angalia link iliyo kama hii
http://rapidshare.com/files/4033768...nu.Maker.Pro.v2.0.1.11.WinAll.Cracked-CRD.rar
Copy link yako na upaste kwenye address box ya browser yako.

Ukiifungua itakupeleka katika page ya rapidshare nautaona options tatu;

1. Buy
2. Save to computer
3.Save.
Chagua option ya pili na utapata file lako kiulaini kabisa.

Bado hii kweli
 
hiyo ni kampuni kubwa guys na inamiliki website nyingi kama hizi hapa

1) moviesmobile.net - Registered at Namecheap.com ambayo ni movie za simu zenye format ya avi

2) TV series, shows/Cartoon, Anime, Manga/Documentaries for mobiles in avi/3gp format - Fztvseries hii ni kudownload tv series kwa ajili ya simu za kawaida, smartphones, tabs zipo aina 3 3gp, avi na mp4 hizi mp4 ni high quality kiasi

3)FzMovies - Bollywood, Hollywood, Dubbed Hollywood high quality movies for mobiles, iphone, ipads, tabs, notes in 3gp and mp4 format. Also stream movies on your mobile hii ni ya kudownload movies za high quality za simu. Kuna 3gp, mp4 na high quality mp4

4) friendz4m.com - online dating Resources and Information. This website is for sale! hii ni forum mama ya site zote hizo ndo mwanzilishi. Pia hii forums ina vitu karibia vyote vya site zake utapata movies na series za simu na pc

Site zao nyengine
-fzdownloads
-fzuploads
Ngoja nichek
 
Wakuu kuna movie nataka nidownload?

Website ipi nzuri ya kudownload manake bitTorret na extratorrents zimefungiwa by now.
 
Mbona mi nadownloadia daily useme hawana search engine hao rapidshare.

Yani inafanya kazi kihivi mimi ni webmaster nina website yangu ya movie na upload movie then napewa unique link then ile link naeka kwenye website yangu. Mtu akija kuclick anakua directed kwenye sehemu ya kudownload rapidshare.

Watu wengi hawaipend rapidshare 4shared na file sharing za zamani sababu zinalimit speed, unakuta una internet ya ukweli but speed ya kinyonga, mediafire nao wana speed ya ukweli ila wanatoa limit ya file mwisho mb200.

Kutokana na hayo ndo mana unaona kunaanzishwa thread nyingi humu, na thread zetu tunaeka single link zenye speed kubwa ambazo ni adimu kuzipata kwenye internet
Mkuu nahitaji kudownload movie. Previously i was using bittorrent and extratorrent but they are currently unavailable?

Need some assistance!
 
Mkuu nahitaji kudownload movie. Previously I was using bittorrent and extratorrent but they are currently unavailable?

Need some assistance!
Usiwe mvivu wa kutafuta Kuna post nyingi wameshazungumzia. But tumia website hii LIMETORRENTS.COM uta search hapo movies unazozitaka
 
Back
Top Bottom