Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
thepiratebay.org
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanafmovies.to kazi kwako
Wadau kama umewahi kushindwa kudownload kutoka rapidshare kwa kukosa premium account,sasa waweza kufanya hivyo bila hata registration.
Kuna weakness ambayo ipo katika website ya rapidshare ambayo kipitia google unadownload for free kutoka katika one of the largest file hosting website.
Njia yenyewe ni hii:
(ukiwa tayari unafahamu jina la softaware, movie au document file unalotaka) Andika jina la kitu unachotaka kudownload kutoka rapidshare (kwenye google search box) uongeze na moja kati ya hizi sentensi; 'rapidshare download', 'rapidshare download links' au 'rapidshare links' kisha usearch.
Katika results zako, utaletewa page zenye link za rapidshare,fungua hizo page kisha angalia link iliyo kama hii
http://rapidshare.com/files/4033768...nu.Maker.Pro.v2.0.1.11.WinAll.Cracked-CRD.rar
Copy link yako na upaste kwenye address box ya browser yako.
Ukiifungua itakupeleka katika page ya rapidshare nautaona options tatu;
1. Buy
2. Save to computer
3.Save.
Chagua option ya pili na utapata file lako kiulaini kabisa.
Ngoja nichekhiyo ni kampuni kubwa guys na inamiliki website nyingi kama hizi hapa
1) moviesmobile.net - Registered at Namecheap.com ambayo ni movie za simu zenye format ya avi
2) TV series, shows/Cartoon, Anime, Manga/Documentaries for mobiles in avi/3gp format - Fztvseries hii ni kudownload tv series kwa ajili ya simu za kawaida, smartphones, tabs zipo aina 3 3gp, avi na mp4 hizi mp4 ni high quality kiasi
3)FzMovies - Bollywood, Hollywood, Dubbed Hollywood high quality movies for mobiles, iphone, ipads, tabs, notes in 3gp and mp4 format. Also stream movies on your mobile hii ni ya kudownload movies za high quality za simu. Kuna 3gp, mp4 na high quality mp4
4) friendz4m.com - online dating Resources and Information. This website is for sale! hii ni forum mama ya site zote hizo ndo mwanzilishi. Pia hii forums ina vitu karibia vyote vya site zake utapata movies na series za simu na pc
Site zao nyengine
-fzdownloads
-fzuploads
mrejesho mkuuNgoja nichek
Unaweza kuconvert hadi file la gb zaidi ya moja?Ndio maana napotaka kudownload files kubwa natumia torrent lakini naconvert na kudownload kwa IDM bila speed limit.
Mkuu nahitaji kudownload movie. Previously i was using bittorrent and extratorrent but they are currently unavailable?Mbona mi nadownloadia daily useme hawana search engine hao rapidshare.
Yani inafanya kazi kihivi mimi ni webmaster nina website yangu ya movie na upload movie then napewa unique link then ile link naeka kwenye website yangu. Mtu akija kuclick anakua directed kwenye sehemu ya kudownload rapidshare.
Watu wengi hawaipend rapidshare 4shared na file sharing za zamani sababu zinalimit speed, unakuta una internet ya ukweli but speed ya kinyonga, mediafire nao wana speed ya ukweli ila wanatoa limit ya file mwisho mb200.
Kutokana na hayo ndo mana unaona kunaanzishwa thread nyingi humu, na thread zetu tunaeka single link zenye speed kubwa ambazo ni adimu kuzipata kwenye internet
Usiwe mvivu wa kutafuta Kuna post nyingi wameshazungumzia. But tumia website hii LIMETORRENTS.COM uta search hapo movies unazozitakaMkuu nahitaji kudownload movie. Previously I was using bittorrent and extratorrent but they are currently unavailable?
Need some assistance!
http://dl.uplodin.ir/FilmMkuu nahitaji kudownload movie...previously i was using bittorrent and extratorrent but they are currently unavailable...?
Need some assistance !!
even softwares na keys (cracked)
movie tueven softwares na keys (cracked)