Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

"Kwa wale mnaopoteza MB’S zenu bila kazi yoyote na wale mnaopataga free WI-FI sehem mbali mblali hii ndio njia ya kushusha mizigo ya movies kiulainii [emoji116] "

1.Download app inaitwa YTS MOVIE BROWSER from Google App store
View attachment 784187


2.Kisha download app ya BITORENT from Google play
View attachment 784188

3.Baada ya luzidownload hizo app mbili anza kufungua app ya YTS na utafute movie unayoitaka kwa mfano "Black panther 2018"
View attachment 784192
4.Baada ya kuiona movie chagua option ya ukubwa wa movie unayotaka kama uliyoonyeshwa hapo kama ni mb700,800 au GB 1 , baada ya hapo touch sehem iliyoandikwa magnet

5.Baada ya kubonyeza sehem iliyoandikwa magnet sasa movie yako moja kwa moja itaanza kushuka kupitia bittorent automatically
View attachment 784196

6. Mahitaji hapa ni MB’S zako tu na Memory yako ya sim iwe ya kutosha kulingana na unachokidownload, pia ukibahatika kupata zile free WI-FI zenye kasi, movie ya MB 700 utaishusha kwa dakika kumi tu na ya GB 1 kwa dakika 15 tu.

[emoji115] enjoy
Zimetafsiriwa mkuu
 
Huwa natumia telegram kushusha mzigo ila ni vizuri kujua NJIA nyingi.... Ahsante mkuu
 
Mi natumia App inayoitwa Terrarium TV kudownload series na movies. Haina longolongo fasta mzigo unashuka, mb zako tu. Inapatikana kwenye browser tu.
Screenshot_20180525-054124.jpg
Screenshot_20180525-054406.jpg
Screenshot_20180525-054344.jpg
 
Kuna wengi downloader youtube katika google lakini wao si salama. Kwa hiyo napendekeza youtubetomp3 kwa kupakua redio, video na movie kutoka youtube?
 
Back
Top Bottom