Richard R Monyo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 242
- 265
PamojaDah mkuu umetutoa tongotongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PamojaDah mkuu umetutoa tongotongo
Ni njia rahisi kabisangoja nifanye ivo
[emoji108]Acha nicheki movie
Poa[emoji3] [emoji3] [emoji3] haya
Poangoja nijaribu
[emoji23]Mie bado mshamba, download kisha unitumie[emoji23]
Zimetafsiriwa mkuu"Kwa wale mnaopoteza MB’S zenu bila kazi yoyote na wale mnaopataga free WI-FI sehem mbali mblali hii ndio njia ya kushusha mizigo ya movies kiulainii [emoji116] "
1.Download app inaitwa YTS MOVIE BROWSER from Google App store
View attachment 784187
2.Kisha download app ya BITORENT from Google play
View attachment 784188
3.Baada ya luzidownload hizo app mbili anza kufungua app ya YTS na utafute movie unayoitaka kwa mfano "Black panther 2018"
View attachment 784192
4.Baada ya kuiona movie chagua option ya ukubwa wa movie unayotaka kama uliyoonyeshwa hapo kama ni mb700,800 au GB 1 , baada ya hapo touch sehem iliyoandikwa magnet
5.Baada ya kubonyeza sehem iliyoandikwa magnet sasa movie yako moja kwa moja itaanza kushuka kupitia bittorent automatically
View attachment 784196
6. Mahitaji hapa ni MB’S zako tu na Memory yako ya sim iwe ya kutosha kulingana na unachokidownload, pia ukibahatika kupata zile free WI-FI zenye kasi, movie ya MB 700 utaishusha kwa dakika kumi tu na ya GB 1 kwa dakika 15 tu.
[emoji115] enjoy
Hamna janja janja humoZimetafsiriwa mkuu
P[emoji3] [emoji3] [emoji3] haya
PoaaHuwa natumia telegram kushusha mzigo ila ni vizuri kujua NJIA nyingi.... Ahsante mkuu
Haha we jamaa dah[emoji16]Zimetafsiriwa mkuu
GoodKwa wale wenye bando za ngama/kuungaunga ingia kwenye tovuti inaitwa toxicwap utakutana na muvi na series zote pale kwa quality ya mp4 na mp3,episode moja inakuwa avarage 90-120mb
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natumia App inayoitwa Terrarium TV kudownload series na movies. Haina longolongo fasta mzigo unashuka, mb zako tu. Inapatikana kwenye browser tu.View attachment 785519View attachment 785520View attachment 785521