MSILOMBO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 511
- 445
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mbinu hii, series zinadownloadika ?Just google
indexof: jina la movie unayotaka
Mfano
Indexof: den of thieves
Ikifunguka chagua link ya pili au ya tatu itakuletea movies wewe ni kuchagua unayotaka na kuidondosha kiurahisi kabisa bila kufunguka funguka kwa ads.
Mkuu nenda kampe like yake mshikajiAhsante mkuu, nitaipakua keshokutwa. Nikienda kwenye Wi-Fi ya bure.
mkuu hiyo njia umeigundua leo?
ipo hivi.
Kama ni series andika
Index of series (jina la series) .mkv
hakikisha unamalizia hiyo extension ya .mkv ni video format inayokuoa HD version kwa mb chache zaidi.
Kama ni movie andika
Index of movie ( jina la movie) .mkv.
View attachment 917139View attachment 917140
Ni sawa tu mkuu pia kuna app moja inaitwa cinemaHD inakutafutia link automatically, ina collection ya movies na series seriesMkuu mimi sikuwa nafahamu nilikuwa ninahangaika na torrents nikaja putlockers sasa katika udadisi na kukerwa na ads nikajijuta kwenye hili chimbo all is well so far
Fuatilia maelezo ya post namba #26 utazipata zoteNinatafuta series za Harry Potter mwenye nazo msaada kwenye tuta
Shukrani mkuu. Maana nimejikuta tu napenda haya mambo ya kichawi sijui kwa nini. Huyu Dambudo ndio role model wangu
Bodo si nafuu episode moja MB 224mkuu hiyo njia umeigundua leo?
ipo hivi.
Kama ni series andika
Index of series (jina la series) .mkv
hakikisha unamalizia hiyo extension ya .mkv ni video format inayokuoa HD version kwa mb chache zaidi.
Kama ni movie andika
Index of movie ( jina la movie) .mkv.
View attachment 917139View attachment 917140
Try CinemaHd inakupa option zaidi.Bodo si nafuu episode moja MB 224
Just google
indexof: jina la movie unayotaka
Mfano
Indexof: den of thieves
Ikifunguka chagua link ya pili au ya tatu itakuletea movies wewe ni kuchagua unayotaka na kuidondosha kiurahisi kabisa bila kufunguka funguka kwa ads.
Kulikuwa kuna terrarium kabla ajafa mpaka mb 100 unangalia seariesMambo ya filechef haya,kitambo sana naitumia hii njia tho torrent ndo napendeleq zaidi
Mkuu ukipata njia nyngne usisite kushare na sisiJust google