Hivi ni lazima kila kitu kibadilike hata mechi muhimu kama ya zimbabwe mnataka ichezwe mbeya?
Nimemsika manager wa timu kituo kimoja charadio akisema mngependa ichezwe mbeya kisa timu ipo kambini mbeya na hali ya hewa ni baridi mngependa wacheze mbeya hapa mnachemka rudisheni mechi dar
Mjasiria Akili mkoa wa mbeya,kama ilivyo Dar,ni sehemu ya himaya ya Tanzania.Hatujasema mchezo utafanyika Mbeya ila ikitokea ukafanyika huko itakuwa ni sehemu ya to spread the game,kusambaza mpira Tanzania.
naamini nafasi yetu itakuwa ndogo kuitoa zimbabwe na kama tunashindwa kumtoa hata zimbabwe tunataka tupangwe na nani ili tumtoe COMORO.
MKALIKENYA aliyekuambia Tanzania vs Zimbabwe itachezewa uwanja wa Taifa ni nani?
Uliza mchezaji yeyote aliyecheza Sokoine baada ya pitch kufanyiwa marekebisho makubwa kabla mzungukonwa pili haujaanza Mapema mwaka huu,ni nzuri sana.Lakini ndugu Malinzi tunasambaza huo mpira strategically au tunafanya holela holela sababu huwezi kusambaza mpira kwa gharama ya kuatarisha nafasi ya timu ya taifa kwenye mashindano ya kimataifa sababu sina hakika na pitch ya uwanja wa sokoine kama ina ubora wa wachezaji kudisplay vipaji na timu kupata ushindi na kiukweli timu zikicheza uwanja mbovu wachezaji wa timu zote upoteza umakini na mara nyingi mechi kama hizi uwa zinaishia kwa timu kutoka sare sasa iwapo tutatoka sare na zimbabwe (ndio kitu ninachokiona kama mechi itachezwa mbeya) naamini nafasi yetu itakuwa ndogo kuitoa zimbabwe na kama tunashindwa kumtoa hata zimbabwe tunataka tupangwe na nani ili tumtoe COMORO.
Malafyale unashusha silaha na kuinua mikono juu kabla hata hujafyatua risasi moja?Kwa maandalizi haya hatuwezi mtoa Zimbabwe hata mechi ichezewe viunga vya Ikulu Dar~!Zimbabwe analeta kikosi chake chenye wachezaji wote wanaocheza South Africa na 2 Ulaya;Sisis hata hao wawili wa nje Samatta na Ulimwengu HAWAJI!
Tumeisha chelewa kaka,labda tujiandae sasa kombe la Dunia Qatar
Uliza mchezaji yeyote aliyecheza Sokoine baada ya pitch kufanyiwa marekebisho makubwa kabla mzungukonwa pili haujaanza Mapema mwaka huu,ni nzuri sana.
Kama wewe ni mwandishi ukipata fursa ongea na mwalimu kuhusu hili atakupa maelezo.Haya ndugu Malinzi mechi mmetangaza rasmi inachezwa dar es salaam kulikoni mlipeleka timu kupiga kambi TUKUYU kwenye baridi kali?tunaomba ufafanuzi wa hili maana tunaanza kupata shaka na baadhi ya maamuzi ya TFF.
Ukienda vitani hujipangi kushindwa jamani,vinginevyo tusingeingia gharama kuingiza timu zetu tano kwenye mashindano mwaka huu U20 boys and girls,U17 boys,Twiga stars na Taifa stars,zote tuliziingiza tukiwa na nia ya kushinda.Heeee ngorongoro heros tumelambishwa mawili hapa hapa home, Je tukienda Nigeria tupigwa ngapi?
Tanzania tunarudi kule kuleeee kwa mzee Mwinyi ( kichwa cha mwendawazimu)
Karibu Zimbabwe uje uchukue pointi za chee kabsaa hapa bongo!
Unasemaje Jamali Malinzi kuhusu hili?
Kama wewe ni mwandishi ukipata fursa ongea na mwalimu kuhusu hili atakupa maelezo.
Yapo ya kujibu mimi yapo ya kujibiwa na mwalimu,ya kiufundi anajibu mwalimu,wenye access na mwalimu mara nyingi ni waandishi wa habari,labda nimshauri awe na ukurasa social media.Mimi sio mwandishi ndugu malinzi na sijui ni kitu gani kimekufanya hudhani mimi ni mwandishi hivyo sina fursa ya kumpata mwalimu kama ulivyoshauli naomba hunijibu hapa kwenye ukurasa wetu utakuwa umenitendea haki mimi na ukurasa huu kwa ujumla, ndugu rais mimi ni mwana JF mtanzania na kitaaluma mimi ni mwanasheria na wakili msomi.
Yapo ya kujibu mimi yapo ya kujibiwa na mwalimu,ya kiufundi anajibu mwalimu,wenye access na mwalimu mara nyingi ni waandishi wa habari,labda nimshauri awe na ukurasa social media.
Kwa lugha nyingine unataka Malinzi amwage hapa jf dondoo za mawasiliano yote aliyokuwa anayafanya na Mwalimu Nooij kuanzia January mwaka huu kabla hata programu ya maboresho haijaanza hadi leo hii? Huo utakuwa utawala bora kweli? Ninachokuomba @ mjasiria akili na wadau wote wa mpira ni positivity,let be positive,negativity eventually itawaathiri na wachezaji,wazimbabwe wanakuja kumi na moja na sisi tutakuwa kumi na moja acha tupambane,ni Zimbabwe hawa hawa mwishoni mwa mwaka jana tuliwatoa kamasi hapa hapa uwanja wa Taifa,waache waje tuwaone.Mwalimu kaja juzi aamue timu iweke kambi tukuyu wakati napajui na kule tukuyu si ndio kule kule hata wale vijana wenu wa tukuyu squard ndio ilikua kambi yao
Samatta na Ulimwengu wana mechi ya champions league week end hii.Rais kuwakosa akina Samatta na Ulimwengu NIMEVUNJIKA sana moyo;hawa 2 ni mafundi sana na kuwepo kwao kunaleta tofauti kubwa sana kwenye team yetu!
Kwa lugha nyingine unataka Malinzi amwage hapa jf dondoo za mawasiliano yote aliyokuwa anayafanya na Mwalimu Nooij kuanzia January mwaka huu kabla hata programu ya maboresho haijaanza hadi leo hii? Huo utakuwa utawala bora kweli? Ninachokuomba @ mjasiria akili na wadau wote wa mpira ni positivity,let be positive,negativity eventually itawaathiri na wachezaji,wazimbabwe wanakuja kumi na moja na sisi tutakuwa kumi na moja acha tupambane,ni Zimbabwe hawa hawa mwishoni mwa mwaka jana tuliwatoa kamasi hapa hapa uwanja wa Taifa,waache waje tuwaone.
Kwa lugha nyingine unataka Malinzi amwage hapa jf dondoo za mawasiliano yote aliyokuwa anayafanya na Mwalimu Nooij kuanzia January mwaka huu kabla hata programu ya maboresho haijaanza hadi leo hii? Huo utakuwa utawala bora kweli? Ninachokuomba @ mjasiria akili na wadau wote wa mpira ni positivity,let be positive,negativity eventually itawaathiri na wachezaji,wazimbabwe wanakuja kumi na moja na sisi tutakuwa kumi na moja acha tupambane,ni Zimbabwe hawa hawa mwishoni mwa mwaka jana tuliwatoa kamasi hapa hapa uwanja wa Taifa,waache waje tuwaone.
Lakini ndugu Malinzi tunasambaza huo mpira strategically au tunafanya holela holela sababu huwezi kusambaza mpira kwa gharama ya kuatarisha nafasi ya timu ya taifa kwenye mashindano ya kimataifa sababu sina hakika na pitch ya uwanja wa sokoine kama ina ubora wa wachezaji kudisplay vipaji na timu kupata ushindi na kiukweli timu zikicheza uwanja mbovu wachezaji wa timu zote upoteza umakini na mara nyingi mechi kama hizi uwa zinaishia kwa timu kutoka sare sasa iwapo tutatoka sare na zimbabwe (ndio kitu ninachokiona kama mechi itachezwa mbeya) naamini nafasi yetu itakuwa ndogo kuitoa zimbabwe na kama tunashindwa kumtoa hata zimbabwe tunataka tupangwe na nani ili tumtoe COMORO.