Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
- Thread starter
-
- #921
wakimataifa ni kweli duniani kote kuna wachezaji huwa wanakuwa "targeted" na mabeki na wakati mwingine wanaumizwa makusudi.J malinzi tunaomba hawa marefarii wa vpl wawe waangalifu kutoumizwa wachezaji ambao kwa sasa wanashiriki mechi za kimataifa yanga inabidi itolewe onyo kwao na timu zinazocheza wote
Kwako raisi wetu!
Vipi kuhusu tatizo la kusaka vipaji has a ktk mikoa isiyo na timu VPL? Natoa mfano wa mikoa kama Iringa na Kigoma, huko kuna vipaji lakini TFF haiviangalii. Je, TFF ina mkakati gani endelevu Lusaka vipaji huko na kuwainua vijana wa kitanzania?
J malinzi ushauri tu musonye kasema kagame cup kufanyika tanzania bara wakati wameleta maombi ni kama anakuamrisha ushauri wangu kataa hayo mashindano kufanyika hapa nchini
wakimataifa barua ya CECAFA ndo kwanza tumeipokea leo.Tunaitafakari.
wakimataifa barua ya CECAFA ndo kwanza tumeipokea leo.Tunaitafakari.
Mkuu Eng. Hon. President Jamal Malinzi kataa ombi la CECAFA, Musonye anatudharau sana sisi Watanzania, hawezi kuporomosha maneno kejeli kiasi kile huku akiwa amekanyaga ardhi ya Tanzania. Endapo mtaona ni vyema kuwa wenyeji wa mashindano hayo basi Musonye aambiwe na atakiwe kutumia vyombo vya habari hivyo hivyo ili kuwaomba radhi Watanzania.
kweli kabisa,thanksTanzania kwaza
Mokoyo kwa vyovyote vile tutaongeza timu za premier league na kuanzisha mashindano mapya ili vijana wetu wapate angalao mechi 40 za kucheza kwa mwaka.Mabadiliko haya yatakuja msimu ujao.
Malinzi na TFF yako hata mpewe ushauri vipi TZ itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu tu na hatutafika popote kwa sababu mmejaa U simba na U Yanga tu na kupiga pesa tu.Hamna nia ya dhati ya kuinua kiwango cha mpira wa Tanzania.Tetesi za kuwa Simba itachukua Nafasi ya Mbeya City kisa Historia ni kuwakatisha tamaa Mbeya City na timu nyingine.Hata kama kanuni za CECAFA haziwabani,nyie mlipaswa kuheshimu juhudi za timu kama Mbeya City.
Starajii kuona mafanikio katika mpira wa Tanzania kama malengo ni kupiga Pesa tu na sio kukuza mpira
Unaumiza kichwa bure mkuu hawasikii hao....hizi tetesi hata mm nimezisikia..
kweli kabisa,thanks
Ushauri ninaoweza mpa Malinzi ili kuboresha soka letu ni YEYE MWENYEWE KUTOGOMBEA TENA NAFASI YA UENYEKITI AWAMU YA PILI.ANUSURU MPIRA WETU.Wawape nafasi watu wanaoujua Mpira.Waliwachinjia baharini akina Shafii Dauda kumbe walijua kuwa wale wataibua madudu.Mtu hajawahi hata kucheza timu ya datasa shule ya msingi anang'ang'ania kuongoza mpira halafu anakuja kuanzisha uzi ati tumshauri.Sisi sio wajinga,ushauri mzuri acha hiyo nafasi waachie wanaoujua mpira
kwani hayo kagame cup a.k.a bonanza la musonye.
ila kama viongozi wa yanga wamepewa dhamana kwa matusi kebehi fedhuri alizotoa musonyo dhidi ya timu yetu ni bora yanga asishiriki
tutakuwa na Taifa cup na Federation cup na pia idadi ya mechi za ligi inaongezeka.