Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
- Thread starter
- #921
wakimataifa ni kweli duniani kote kuna wachezaji huwa wanakuwa "targeted" na mabeki na wakati mwingine wanaumizwa makusudi.J malinzi tunaomba hawa marefarii wa vpl wawe waangalifu kutoumizwa wachezaji ambao kwa sasa wanashiriki mechi za kimataifa yanga inabidi itolewe onyo kwao na timu zinazocheza wote
Majuzi Mourinho alilalamika kuhusu rafu za makusudi anazochezewa Eden Hazard na akawataka waamuzi wamlinde kwa kutoa adhabu kwa wahusika.Waamuzi katika kozi zao huwa wanafundishwa namna ya kuangalia fujo hizi.
Waamuzi wetu wanalijua hilo,ila na sisi tunafuatilia.