Maswali na ushauri kwa Malinzi

Maswali na ushauri kwa Malinzi

J malinzi tunaomba hawa marefarii wa vpl wawe waangalifu kutoumizwa wachezaji ambao kwa sasa wanashiriki mechi za kimataifa yanga inabidi itolewe onyo kwao na timu zinazocheza wote
wakimataifa ni kweli duniani kote kuna wachezaji huwa wanakuwa "targeted" na mabeki na wakati mwingine wanaumizwa makusudi.

Majuzi Mourinho alilalamika kuhusu rafu za makusudi anazochezewa Eden Hazard na akawataka waamuzi wamlinde kwa kutoa adhabu kwa wahusika.Waamuzi katika kozi zao huwa wanafundishwa namna ya kuangalia fujo hizi.

Waamuzi wetu wanalijua hilo,ila na sisi tunafuatilia.
 
Kwako raisi wetu!
Vipi kuhusu tatizo la kusaka vipaji has a ktk mikoa isiyo na timu VPL? Natoa mfano wa mikoa kama Iringa na Kigoma, huko kuna vipaji lakini TFF haiviangalii. Je, TFF ina mkakati gani endelevu Lusaka vipaji huko na kuwainua vijana wa kitanzania?

JUMONG umuhimu huu tunaufahamu.

Suluhisho lake ni kurudisha kombe la Taifa,Taifa cup. Shindano hili ndilo pekee linalohusisha mikoa yote ya nchi hii na kutoa fursa kwa vijana nchi nzima kuonyesha vipaji vyao na hatimae kuingia kwenye program ya maboresho ya timu ya Taifa.
 
J malinzi ushauri tu musonye kasema kagame cup kufanyika tanzania bara wakati wameleta maombi ni kama anakuamrisha ushauri wangu kataa hayo mashindano kufanyika hapa nchini
 
wakimataifa barua ya CECAFA ndo kwanza tumeipokea leo.Tunaitafakari.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Eng. Hon. President Jamal Malinzi kataa ombi la CECAFA, Musonye anatudharau sana sisi Watanzania, hawezi kuporomosha maneno kejeli kiasi kile huku akiwa amekanyaga ardhi ya Tanzania. Endapo mtaona ni vyema kuwa wenyeji wa mashindano hayo basi Musonye aambiwe na atakiwe kutumia vyombo vya habari hivyo hivyo ili kuwaomba radhi Watanzania.
 
Sisi pumbafu ndio ache tutukanwe..na safari hii aje na kapu la matusi
 
Last edited by a moderator:
Yaleteni mashindano ya cecafa Kambarage Shinyanga mvua iwakomeshe Halafu!! Musonye ni katibu wa kudumu wa cecafa?
 
Mokoyo kwa vyovyote vile tutaongeza timu za premier league na kuanzisha mashindano mapya ili vijana wetu wapate angalao mechi 40 za kucheza kwa mwaka.Mabadiliko haya yatakuja msimu ujao.

Enheee,,;
Vipi hili mheshimiwa. Ushalifanyia kazi?

Maana ni msimu mwingine huu. Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
Malinzi na TFF yako hata mpewe ushauri vipi TZ itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu tu na hatutafika popote kwa sababu mmejaa U simba na U Yanga tu na kupiga pesa tu.Hamna nia ya dhati ya kuinua kiwango cha mpira wa Tanzania.Tetesi za kuwa Simba itachukua Nafasi ya Mbeya City kisa Historia ni kuwakatisha tamaa Mbeya City na timu nyingine.Hata kama kanuni za CECAFA haziwabani,nyie mlipaswa kuheshimu juhudi za timu kama Mbeya City.
Starajii kuona mafanikio katika mpira wa Tanzania kama malengo ni kupiga Pesa tu na sio kukuza mpira
 
Unaumiza kichwa bure mkuu hawasikii hao....hizi tetesi hata mm nimezisikia..
 
Ushauri ninaoweza mpa Malinzi ili kuboresha soka letu ni YEYE MWENYEWE KUTOGOMBEA TENA NAFASI YA UENYEKITI AWAMU YA PILI.ANUSURU MPIRA WETU.Wawape nafasi watu wanaoujua Mpira.Waliwachinjia baharini akina Shafii Dauda kumbe walijua kuwa wale wataibua madudu.Mtu hajawahi hata kucheza timu ya datasa shule ya msingi anang'ang'ania kuongoza mpira halafu anakuja kuanzisha uzi ati tumshauri.Sisi sio wajinga,ushauri mzuri acha hiyo nafasi waachie wanaoujua mpira
 
kweli kabisa,thanks

Acha kutusanifu mheshimiwa,hivi kweli nyie mna nia ya dhati na mpira wa Tanzania kweli? Tulikuwa na higher expectation toka kwako kumbe nawe ni walewale tu.Nitasikitika sana kama utataka tena kuongoza muhula mwingine.Umeprove failure kwenye soka.Anyway ulishawahi chezea hata timu ya darasa tu achilia mbali ya shule,angalau kwa shule ya msingi tu?
 
Ushauri ninaoweza mpa Malinzi ili kuboresha soka letu ni YEYE MWENYEWE KUTOGOMBEA TENA NAFASI YA UENYEKITI AWAMU YA PILI.ANUSURU MPIRA WETU.Wawape nafasi watu wanaoujua Mpira.Waliwachinjia baharini akina Shafii Dauda kumbe walijua kuwa wale wataibua madudu.Mtu hajawahi hata kucheza timu ya datasa shule ya msingi anang'ang'ania kuongoza mpira halafu anakuja kuanzisha uzi ati tumshauri.Sisi sio wajinga,ushauri mzuri acha hiyo nafasi waachie wanaoujua mpira

hahahaha..kn mtu kapigwa BAN kisa kuhoji hoji..BAN ya miaka 7
 
kwani hayo kagame cup a.k.a bonanza la musonye.
ila kama viongozi wa yanga wamepewa dhamana kwa matusi kebehi fedhuri alizotoa musonyo dhidi ya timu yetu ni bora yanga asishiriki
 
Hivi bado watu wana mshauri tu huyu jamaa?..Yanga ikishiriki nitawadharau sana
 
Back
Top Bottom