Maswali ya interview NAOT na HESLB

The questions were answerable.

I hope utakua selected kwenda oral.

Nakutakia maandalizi mema ya oral.
 
Maswali yote yapo kwenye heslb act haya nyumbigwa God abless mpite
 
Inakuaje wazee?

Mwenye experience ya interview za utumishi kada za auditor II pale NAOT na Loan officer II HESLB atuwekee hapa tujiandae.
Hiki kizazi shida sana,kila kitu mnataka,kamserereko!sasa ukionyeshwa maswali,huo utakuwa usahili au utumbo?
Miaka 20 iliyopita hakukuwa na smart phones,Wala mitandao ya kijamii,simu ndio zilikuwa zinaingia?
Sasa mnafikiri sie baba zenu,tulifsnya vipi usahili bila hayo madesa?maana kulikuwa hakuna jinsi ya kupata desa,ni mpaka muonane na mtu,mawasiliano yalikuwa magumu sana!nicmwendo wa kutafutana manually.
 
Ndo maana dunia imebadilika, kama vitu vimerahisishwa kutakuwa na maana gani sasa kama havitumiki? unataka mtu atumie simu kufanya nini, mshukuru Mungu ata una smart phone umeweza kuja kusoma na kutoa maoni humu[emoji3]
 
Kwahiyo unataka nasisi tusafiri kwa kupanda punda kama mlivyopandaga nyie???acha kuwa na roho mbaya
 
Ndo maana dunia imebadilika, kama vitu vimerahisishwa kutakuwa na maana gani sasa kama havitumiki? unataka mtu atumie simu kufanya nini, mshukuru Mungu ata una smart phone umeweza kuja kusoma na kutoa maoni humu[emoji3]
Watu wanaideology za ajabu sana aseeh
 
Baki na uzee wako tu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…