Maswali ya interview NAOT na HESLB

Hawa vijana wa miaka 20 iliyopita nafasi za kazi ziliwafata, na hata sahili zao hazikua na mambo mengi kama tunavyoshuhudia sasa.

Mara nyingi hujiona kizazi kamilifu sana.
 
Anataka twende library za taifa kusoma, tutumiwe materials posta.
Hawa watu wanashida sana sasa mtu kutoa tu hata experience ya interview zinavyokuwa anakunja roho hizo sindo dalili za uchawi aseeh kuna vitu vinakera sana
 
Tena na kuomba karatasi ya ziada kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂asa mimi kwenye pepa nakuwaga na speed balaa ile ya pura nimeenda nikaomba na karatasi matokeo yakatoka ndo nikaona kumbe nilikuwa najibu ujinga tu
 
HESLB Act hii.

Hata mimi wa kada nyingine ningekomaa na hiyo Act ningeokoteza maswali kadhaa hapa
 
hawa wazee wanajionaga special sana ukute tukipewa pepa nae hanichomoi hata asome miaka buku
Usikute hawa ndio wanaokalia mikeka huko PSRS, hapa wanakuja kutupiga biti[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asa mimi kwenye pepa nakuwaga na speed balaa ile ya pura nimeenda nikaomba na karatasi matokeo yakatoka ndo nikaona kumbe nilikuwa najibu ujinga tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aah mi nilikuwa Lt 2, izi avatar ni balaa mnaweza kuwa same place na msitambuane[emoji3][emoji3]
Lt 2 back bencher na pisi moja pembeni iliyokua na mkeka kwenye gauni ya ngazi. Hatari sana, sijui iliupata wapi. Hapa nasubiria tuu oral, laasivyo nitakata rufaa.
 
Lt 2 back bencher na pisi moja pembeni iliyokua na mkeka kwenye gauni ya ngazi. Hatari sana, sijui iliupata wapi. Hapa nasubiria tuu oral, laasivyo nitakata rufaa.
Kwamba mlibahatisha kupata mkeka/possible? au nimekuelewa vibaya
 
Lt 2 back bencher na pisi moja pembeni iliyokua na mkeka kwenye gauni ya ngazi. Hatari sana, sijui iliupata wapi. Hapa nasubiria tuu oral, laasivyo nitakata rufaa.
Mi nilikua cafe theater 2 backbencher.. mbona sijaona hilo tukio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…