Auditing ya sekta ya Afya sijui tusimame wapi.Wa auditing pitieni na hapa mnaweza kuokota hata kimoja
Hapo piga wadudu na hizi usisahau maana lazima watatoa moja au mawili yanayobase kwenye ukaguzi hasa zile inventory of drugs kujua dawa zilizoingia na kutoka na kujua wangapi waliotibiwa walitumia bima na wangapi hawakutumia bima lazima uzijue hizoAuditing ya sekta ya Afya sijui tusimame wapi.
Majukumu ya CAG na Ofisi yake, kwa 90% wanabase kwenye ukaguzi wa matumizi ya fedha. Sijui watatuletea haya mambo au mambo ya wadudu.
Pitia nazile financial management na health information system and management unavyofanya kazi maana pale detail zote mnapofanya auditing mnacompare available things na zile zilizoingizwa kwenye sytem kwahiyo pitia hizo mkuuAuditing ya sekta ya Afya sijui tusimame wapi.
Majukumu ya CAG na Ofisi yake, kwa 90% wanabase kwenye ukaguzi wa matumizi ya fedha. Sijui watatuletea haya mambo au mambo ya wadudu.
Wazee wa auditing pitieni hizi documents hapa juu zina madini sana humo ndaniWa auditing pitieni na hapa mnaweza kuokota hata kimoja
National Audit
1. Explain the process of internal control
2. Issues to consider b4 audit engagement
3. Explain the theory of COSO in auditing.
4. Disadvantage of public audit compare against private Audit
5. Stage of Audit tax VAT.
paper la mwaka jana👆
😂😂😂😂Pepa ipo serious kuliko kazi yenyewe hahhhHili paper lilikua serious sana asee🙌🏾
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo piga wadudu na hizi usisahau maana lazima watatoa moja au mawili yanayobase kwenye ukaguzi hasa zile inventory of drugs kujua dawa zilizoingia na kutoka na kujua wangapi waliotibiwa walitumia bima na wangapi hawakutumia bima lazima uzijue hizo
Bila shaka, kada ilikuwa MchumiNational Audit
1. Explain the process of internal control
2. Issues to consider b4 audit engagement
3. Explain the theory of COSO in auditing.
4. Disadvantage of public audit compare against private Audit
5. Stage of Audit tax VAT.
paper la mwaka jana[emoji115]
Ishi humu mzee hawawezi kuruka na kwenye wadudu usisahau mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unapiga kwa miguu yote kama Pele.
Sawa mkuu ngoja niishi humo humo.
Kuna hii Guideline nayo sio haba, naokoteza viconcept pia.View attachment 2396806
Kwenye mchumi wanatoa audit kwani? [emoji848]Bila shaka, kada ilikuwa Mchumi
Hiyo ni auditor yenyewe kabisa sio mchumiBila shaka, kada ilikuwa Mchumi
Pitia zote kama ni mchumi wa naot wanaweza kuwauliza kuhusu auditing utumishi hawaelewekagi wale
Nop ni audit sema kwenye oral yake waliulizag na la uchumi Moja kwenye kada hii kitu km GDP ivBila shaka, kada ilikuwa Mchumi
Huko kwenye wadudu ndio main body(kama ni easy) na tunajua hii part ina marks nzitoIshi humu mzee hawawezi kuruka na kwenye wadudu usisahau mzee
Hao angalau hawapati shida ya kuguess vya kusomaHiyo ni auditor yenyewe kabisa sio mchumi
Nilikuwa najaribu kuotea naona nimeangukia pua
Kabisa hiyo wanasemaga wanakupima kama kweli ulisoma hayo mambo au vipi halafu ndo wanakuleta kwenye kufanya audit sasaHuko kwenye wadudu ndio main body(kama ni easy) na tunajua hii part ina marks nzito
😂😂😂😂😂Ningekuwa auditor notes kama zote yani unameza zote halafu unawasubiri utumishi wajileteHao angalau hawapati shida ya kuguess vya kusoma