Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Auditing ya sekta ya Afya sijui tusimame wapi.Wa auditing pitieni na hapa mnaweza kuokota hata kimoja
Majukumu ya CAG na Ofisi yake, kwa 90% wanabase kwenye ukaguzi wa matumizi ya fedha. Sijui watatuletea haya mambo au mambo ya wadudu.