Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Wa auditing pitieni na hapa mnaweza kuokota hata kimoja
Auditing ya sekta ya Afya sijui tusimame wapi.

Majukumu ya CAG na Ofisi yake, kwa 90% wanabase kwenye ukaguzi wa matumizi ya fedha. Sijui watatuletea haya mambo au mambo ya wadudu.
 
Hapo piga wadudu na hizi usisahau maana lazima watatoa moja au mawili yanayobase kwenye ukaguzi hasa zile inventory of drugs kujua dawa zilizoingia na kutoka na kujua wangapi waliotibiwa walitumia bima na wangapi hawakutumia bima lazima uzijue hizo
 
Pitia nazile financial management na health information system and management unavyofanya kazi maana pale detail zote mnapofanya auditing mnacompare available things na zile zilizoingizwa kwenye sytem kwahiyo pitia hizo mkuu
 
National Audit
1. Explain the process of internal control
2. Issues to consider b4 audit engagement
3. Explain the theory of COSO in auditing.
4. Disadvantage of public audit compare against private Audit
5. Stage of Audit tax VAT.

paper la mwaka jana👆
 
Hili paper lilikua serious sana asee🙌🏾
National Audit
1. Explain the process of internal control
2. Issues to consider b4 audit engagement
3. Explain the theory of COSO in auditing.
4. Disadvantage of public audit compare against private Audit
5. Stage of Audit tax VAT.

paper la mwaka jana👆
 
Hapo piga wadudu na hizi usisahau maana lazima watatoa moja au mawili yanayobase kwenye ukaguzi hasa zile inventory of drugs kujua dawa zilizoingia na kutoka na kujua wangapi waliotibiwa walitumia bima na wangapi hawakutumia bima lazima uzijue hizo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unapiga kwa miguu yote kama Pele.
Sawa mkuu ngoja niishi humo humo.

Kuna hii Guideline nayo sio haba, naokoteza viconcept pia.
Screenshot_20221008-072732.jpg
 
National Audit
1. Explain the process of internal control
2. Issues to consider b4 audit engagement
3. Explain the theory of COSO in auditing.
4. Disadvantage of public audit compare against private Audit
5. Stage of Audit tax VAT.

paper la mwaka jana[emoji115]
Bila shaka, kada ilikuwa Mchumi
 
Huko kwenye wadudu ndio main body(kama ni easy) na tunajua hii part ina marks nzito
Kabisa hiyo wanasemaga wanakupima kama kweli ulisoma hayo mambo au vipi halafu ndo wanakuleta kwenye kufanya audit sasa
 
Back
Top Bottom