Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Ni matumaini yangu Ndugu KYAGATA utajiandaa vizuri kwa USAILI huu, kuna siku mlijibizana na jamaa fulani humu lakini lengo lake lilikuwa ni kukushauri upunguze pressure na lawama dhidi ya Sekretarieti.

Ulivyofanya leo ni sahihi kuomba mtu mwenye any idea na USAILI husika. Ni vizuri kuvuta subira kwa kila nafasi zinazotangazwa na Sekretarieti ya Ajira kuliko kujaza lawama dhidi ya Sekretarieti JF, HAISAIDII!!!

Nakuomba jiandae vizuri, ukafanye vizuri USAILI huo ili upate kazi, kumbuka subira yavuta heri, Mungu ni Mwema utafanikiwa
Mkuu naomba namba yako pm.
 
Wakuu hao NOAT kada ya mtakwimu walitangaza nafasi moja tu, ila nimeona ni kama wameita written interview watu 800+ hii inawezekanaje aisee au ni macho yangu.
 
Wakuu hao NOAT kada ya mtakwimu walitangaza nafasi moja tu, ila nimeona ni kama wameita written interview watu 800+ hii inawezekanaje aisee au ni macho yangu.
inawezekana mkuu siwote wanasifa zinazotakiwa?lazima waitwe lakini usiogope nikawaida
 
Back
Top Bottom