BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Wangeweka kigezo kiwe cpa, wangeitwa wachache sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina haja mzee acha wote wakapambanie nafasi aliyepangiwa atapataWangeweka kigezo kiwe cpa, wangeitwa wachache sana
Kwaio mkuu na wewe hauna kazi...🤣🤣🤣Waliowahi kufanya hizi interview za NAOT wanapaswa kutupa muongozo.
Kwenye Archieves za PSRS inaonekana mwaka 2020, interview ya NAOT iliwahi kufanyika, hao wadau inabidi watie neno hapa ili tujue pa kuanzia.
Hata hivyo ngoja nianze na Job descriptions, nijichimbe job description moja baada ya nyingine naweza kuokota dodo ndani ya ukumbi wa CBLS siku ya Mkando
😂😂😂😂😂Hapo ndo inatakiwa mtu usome kweliKwani haya majina ninayoyaona pdf mpya la Leo Huku PSRS ni ya Nyongeza au vp.. mbona ni mengi hv dadeq.. wamesema ni ya HESLB
ila salary scale zao zinakatisha tamaa, TGS D unless wawe na posho nyingi.Kuna mdau yuko hapo NAOT ameniambia pale cpa sio priority ingawa ukiwa nayo ni vizuri zaidi.
Scale za TGS hizo ni za Halmashauri Huku.. Taasisi kama hizo si Huwa Wana scale zao kama tunavyoona kwenye vyuo..🤔🤔!!ila salary scale zao zinakatisha tamaa, TGS D unless wawe na posho nyingi.
Usijali mkuu.Hujaomba afu unafuatilia kitu kisichokuhusu mkuu?
Anyway psrs kila mtu anapewa nafasi ya kufanya usaili ilimradi utimize vigezo vyao tu.
Huyo mdau kwanini asitusaidie sample ya maswali ya written/oral kama alipitia njia hii.Kuna mdau yuko hapo NAOT ameniambia pale cpa sio priority ingawa ukiwa nayo ni vizuri zaidi.
Kazi ni neno pana mkuu.Kwaio mkuu na wewe hauna kazi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii kazi ya ukaguzi lazima ina trips mbali mbali kufikia maeneno ya ukaguzi, perdiem huenda ndio wanaishi nayo(sina uhakika lakini)Scale za TGS hizo ni za Halmashauri Huku.. Taasisi kama hizo si Huwa Wana scale zao kama tunavyoona kwenye vyuo..[emoji848][emoji848]!!
Mkuu mimi sina kazi kabisa...🤣🤣🤣🤣Kazi ni neno pana mkuu.
Kuna kazi zenye security na maslahi manono, zingine hazina security na maslahi manono, zingine zina security na maslahi duni.
Angalau nipo kwenye hizo miongoni nilizozitaja hapo juu.
Nisaidie kunipachika unayoona inanifaa, wakati nikiendelea kujinoa kuwakabili PSRS kwenye kada za NAOT
hapa lazima wakupige chini watakutafutia sababu za kipuuz, me sio mfuasi wa magu ila toka magu adondoke wamekuwa wangese, tegemea kati ya hizi sababu za kutoitwa..Hapo sawa mkuu
Ahsante sana.
maana nilikuwa nishaanza pata mashaka kwanini status yangu bado inasoma received.
Naomba unitumie hili tangazo la kazi, mimi nipo legal officer.Nimepitia Job descriptions za Kada nyingi za NAOT, nimeona zinafanana kama inavyoonekana kwenye hii picha.
Watu ICT ndio zinatofautiana na hizi za halaiki.
Kutokana na uzoefu wangu wa kukandwa, napenda kutoa muongozo kama ifuatavyo:
1. Tujiandae kulingana na fani zetu mfano, Mchumi deal na mambo ya kiuchumi uliyojifunza chuo, hivyo hivyo afisa kilimo, Daktari, Afisa ununuzi n.k
Reference ya huu muongozo:
-:Written yangu ya kwanza ilihusu mambo ya fani tuliyojifunza chuo na mafunzo kwa vitendo ingawa Job descriptions zilikuwa specific kuhusu mambo mengine, Written yangu ya pili ikawa kama ya mwanzo.
2. Tusome pia mambo ya kiukaguzi tukiongozwa na majukumu yaliyoanishwa kwenye tangazo, waliowahi kufika oral ni mashahidi maana walishawahi kuulizwa wayataje majukumu ya kazi wanayoomba kama wanayafahamu.
Kwa hiyo mimi binafsi nitaishi kwenye hii miongozo niliyoitoa hapa, nikikandwa napo ni sehemu ya hustle kama ilivyo kawaida, nikiwakanda napo ni ushindi mkubwa kwa mkandwaji suguView attachment 2387812
tena umekosea hujasoma vizuri written Dom tarehe 27 mwezi wa 10, practical Dar tarehe 6 mwezi wa 11 alafu Oral ni tarehe 7 mwezi 11 Dodoma kudadeki cheki picha 😂Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili.
Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam na oral ufanyike Dar es salaam hili limekaaje?
Kwanini Witten na practical zisifanyike dar es salaam na oral ikafanyika Dodoma,au kwanini vyote visifanyike sehemu Moja kama Dodoma tu au Dar salaam peke yake?Ili kuwapunguzia wasailiwa kurupishani za kusafiri huku na kule pia kuwapunguzia gharama .
Napaza sauti hii naomba sekretarieti ya ajira wafanye marekebisho ya ratiba za huu usaili .