Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Waliowahi kufanya hizi interview za NAOT wanapaswa kutupa muongozo.

Kwenye Archieves za PSRS inaonekana mwaka 2020, interview ya NAOT iliwahi kufanyika, hao wadau inabidi watie neno hapa ili tujue pa kuanzia.

Hata hivyo ngoja nianze na Job descriptions, nijichimbe job description moja baada ya nyingine naweza kuokota dodo ndani ya ukumbi wa CBLS siku ya Mkando
Kwaio mkuu na wewe hauna kazi...🤣🤣🤣
 
Kwani haya majina ninayoyaona pdf mpya la Leo Huku PSRS ni ya Nyongeza au vp.. mbona ni mengi hv dadeq.. wamesema ni ya HESLB
 
Kuna mdau yuko hapo NAOT ameniambia pale cpa sio priority ingawa ukiwa nayo ni vizuri zaidi.
Huyo mdau kwanini asitusaidie sample ya maswali ya written/oral kama alipitia njia hii.

Ebu muulizie basi mkuu.
 
Kwaio mkuu na wewe hauna kazi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi ni neno pana mkuu.

Kuna kazi zenye security na maslahi manono, zingine hazina security na maslahi manono, zingine zina security na maslahi duni.

Angalau nipo kwenye hizo miongoni nilizozitaja hapo juu.

Nisaidie kunipachika unayoona inanifaa, wakati nikiendelea kujinoa kuwakabili PSRS kwenye kada za NAOT
 
Kazi ni neno pana mkuu.

Kuna kazi zenye security na maslahi manono, zingine hazina security na maslahi manono, zingine zina security na maslahi duni.

Angalau nipo kwenye hizo miongoni nilizozitaja hapo juu.

Nisaidie kunipachika unayoona inanifaa, wakati nikiendelea kujinoa kuwakabili PSRS kwenye kada za NAOT
Mkuu mimi sina kazi kabisa...🤣🤣🤣🤣
 
Hapo sawa mkuu
Ahsante sana.
maana nilikuwa nishaanza pata mashaka kwanini status yangu bado inasoma received.
hapa lazima wakupige chini watakutafutia sababu za kipuuz, me sio mfuasi wa magu ila toka magu adondoke wamekuwa wangese, tegemea kati ya hizi sababu za kutoitwa..

1.Lacks Relevant Bachelor Degree as Per Advert
2.Wrong Passport Size Photo Attached
3.Passport Size Photo not Uploaded
4.CISA Certification not Attached

Yan wana kaupuuz fulan ivi, wanaboa kinoma, hata kama hizo sababu sio relevant hawajali as long as your name is not on the list your not gonna do the exam and these mf's dont care.
 
Nimepitia Job descriptions za Kada nyingi za NAOT, nimeona zinafanana kama inavyoonekana kwenye hii picha.

Watu ICT ndio zinatofautiana na hizi za halaiki.

Kutokana na uzoefu wangu wa kukandwa, napenda kutoa muongozo kama ifuatavyo:

1. Tujiandae kulingana na fani zetu mfano, Mchumi deal na mambo ya kiuchumi uliyojifunza chuo, hivyo hivyo afisa kilimo, Daktari, Afisa ununuzi n.k

Reference ya huu muongozo:
-:Written yangu ya kwanza ilihusu mambo ya fani tuliyojifunza chuo na mafunzo kwa vitendo ingawa Job descriptions zilikuwa specific kuhusu mambo mengine, Written yangu ya pili ikawa kama ya mwanzo.

2. Tusome pia mambo ya kiukaguzi tukiongozwa na majukumu yaliyoanishwa kwenye tangazo, waliowahi kufika oral ni mashahidi maana walishawahi kuulizwa wayataje majukumu ya kazi wanayoomba kama wanayafahamu.

Kwa hiyo mimi binafsi nitaishi kwenye hii miongozo niliyoitoa hapa, nikikandwa napo ni sehemu ya hustle kama ilivyo kawaida, nikiwakanda napo ni ushindi mkubwa kwa mkandwaji suguView attachment 2387812
Naomba unitumie hili tangazo la kazi, mimi nipo legal officer.
 
Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili.

Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam na oral ufanyike Dar es salaam hili limekaaje?

Kwanini Witten na practical zisifanyike dar es salaam na oral ikafanyika Dodoma,au kwanini vyote visifanyike sehemu Moja kama Dodoma tu au Dar salaam peke yake?Ili kuwapunguzia wasailiwa kurupishani za kusafiri huku na kule pia kuwapunguzia gharama .


Napaza sauti hii naomba sekretarieti ya ajira wafanye marekebisho ya ratiba za huu usaili .
tena umekosea hujasoma vizuri written Dom tarehe 27 mwezi wa 10, practical Dar tarehe 6 mwezi wa 11 alafu Oral ni tarehe 7 mwezi 11 Dodoma kudadeki cheki picha 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
ratiiii.png
 
Back
Top Bottom