Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Ila mkuu ukipata hizo za NAOT utakua unapiga mpunga sana haswa kile kipindi cha kukagua mashirika na taasisi za serikali...
Sasa ngamia atapitaje kwenye tundu la Sindano mkuu!!.

Miujiza labda ifanye yake
 
Huyo mdau kwanini asitusaidie sample ya maswali ya written/oral kama alipitia njia hii.

Ebu muulizie basi mkuu.
Wako kwenye ukaguzi sasa hivi,anasema wako busy sana kila nikimcheck.
 
20221018_175834_mfnr.jpg
NAOT TUISHI HUKU MADINI YAPO MENGI MNOOO
 
Wako kwenye ukaguzi sasa hivi,anasema wako busy sana kila nikimcheck.
Ok, usisahau kumchimba na maslahi katika routes za kufanya ukaguzi maana scale zao ni za kawaida, kuna mtu kazifananisha na Tamisemi
 
Ok, usisahau kumchimba na maslahi katika routes za kufanya ukaguzi maana scale zao ni za kawaida, kuna mtu kazifananisha na Tamisemi
Ukaguzi unahela mzee asikwambie mtu nisawa na watu wa mipakani wale
 
Scale za TGS hizo ni za Halmashauri Huku.. Taasisi kama hizo si Huwa Wana scale zao kama tunavyoona kwenye vyuo..[emoji848][emoji848]!!
TGS D ama TGS E utakayoikuta NAOT ndo hio hio ya halmashauri, Taasisi zenye scale zao hawatumii "TGS" scales, zao ni tofauti na zina abbreviation tofauti kabisa na TGS

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
NAOT : fahamu ukaguzi kuanzia hatua ya kuplan hadi ufuatiliaji wa utekelezaji, maana ya maneno mbalimbali pia misingi ya kuandaa taarifa za fedha, ikiwezekana na mambo ya sasa yanayohusu ukaguzi, uhasibu na usimamizi wa fedha kwa ujumla.
 
TGS D ama TGS E utakayoikuta NAOT ndo hio hio ya halmashauri, Taasisi zenye scale zao hawatumii "TGS" scales, zao ni tofauti na zina abbreviation tofauti kabisa na TGS

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mshahara ni kama Tamisemi tu TGS D ni kama laki 7 na point. Ila kuna maposho, ma over time ya kumwaga...ukipata utojuta. Pia kama sio msalendo kama mimi ndani ya mwaka mmoja tu unaweza nunua kiwanja chanika dsm na kujenga na kununua usafiri wa kawaida

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Lets assume unapangiwa NAOT - Songwe, je napo kuna safari na over time za kutosha?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
tujifunze kujiongeza si mtuu anatuma kitu uku bhasi badala ya ku google unaanza kuomba kila
kitu tukiishi kusaidiwa we cant help ourself
wa NAOT soma hiyo audit and auditor act 2020
 
Attachments

Back
Top Bottom