Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kikubwa uhai tu, tuishi mkuuMkuu mimi sina kazi kabisa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa uhai tu, tuishi mkuuMkuu mimi sina kazi kabisa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mkuu ukipata hizo za NAOT utakua unapiga mpunga sana haswa kile kipindi cha kukagua mashirika na taasisi za serikali...Kikubwa uhai tu, tuishi mkuu
Sasa ngamia atapitaje kwenye tundu la Sindano mkuu!!.Ila mkuu ukipata hizo za NAOT utakua unapiga mpunga sana haswa kile kipindi cha kukagua mashirika na taasisi za serikali...
Naomba unitumie hili tangazo la kazi, mimi nipo legal officer.
Mkuu pitia hapa MwifwaView attachment 2391207NAOT TUISHI HUKU MADINI YAPO MENGI MNOOO
Ok, usisahau kumchimba na maslahi katika routes za kufanya ukaguzi maana scale zao ni za kawaida, kuna mtu kazifananisha na TamisemiWako kwenye ukaguzi sasa hivi,anasema wako busy sana kila nikimcheck.
Hii PDF yake inapatikana kwenye website ya NAOT?View attachment 2391207NAOT TUISHI HUKU MADINI YAPO MENGI MNOOO
idownload nadhani ipo mtandaoni tafuta na ripoti za CAGNgoja itumwe nikaoshe macho
Ukaguzi unahela mzee asikwambie mtu nisawa na watu wa mipakani waleOk, usisahau kumchimba na maslahi katika routes za kufanya ukaguzi maana scale zao ni za kawaida, kuna mtu kazifananisha na Tamisemi
TGS D ama TGS E utakayoikuta NAOT ndo hio hio ya halmashauri, Taasisi zenye scale zao hawatumii "TGS" scales, zao ni tofauti na zina abbreviation tofauti kabisa na TGSScale za TGS hizo ni za Halmashauri Huku.. Taasisi kama hizo si Huwa Wana scale zao kama tunavyoona kwenye vyuo..[emoji848][emoji848]!!
Mshahara ni kama Tamisemi tu TGS D ni kama laki 7 na point. Ila kuna maposho, ma over time ya kumwaga...ukipata utojuta. Pia kama sio msalendo kama mimi ndani ya mwaka mmoja tu unaweza nunua kiwanja chanika dsm na kujenga na kununua usafiri wa kawaidaTGS D ama TGS E utakayoikuta NAOT ndo hio hio ya halmashauri, Taasisi zenye scale zao hawatumii "TGS" scales, zao ni tofauti na zina abbreviation tofauti kabisa na TGS
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Lets assume unapangiwa NAOT - Songwe, je napo kuna safari na over time za kutosha?Mshahara ni kama Tamisemi tu TGS D ni kama laki 7 na point. Ila kuna maposho, ma over time ya kumwaga...ukipata utojuta. Pia kama sio msalendo kama mimi ndani ya mwaka mmoja tu unaweza nunua kiwanja chanika dsm na kujenga na kununua usafiri wa kawaida
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuingia huko sasa ndio kimbembeUkaguzi unahela mzee asikwambie mtu nisawa na watu wa mipakani wale
AmbilikileUchumi grade 2 jua Macroeconomics and Microeconomics, Anza na zile za Ambilikile 1&2 , pia soma research utakuwa umemaliza, especially hakikisha kozi zako za first Year semester ya kwanza za economics yaani 116 & 117 umezijua