kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
- Thread starter
- #141
Mkuu,kuna watu humu mpaka unakaa unajiuliza,hawa ndugu zetu wamelelewa katika mazingira gani?yani tuvitu tudogo tudogo mpaka waombe wafanyiwe.ila ni uvivu tu hakuna kingine...tujifunze kujiongeza si mtuu anatuma kitu uku bhasi badala ya ku google unaanza kuomba kila
kitu tukiishi kusaidiwa we cant help ourself
wa NAOT soma hiyo audit and auditor act 2020