Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

tujifunze kujiongeza si mtuu anatuma kitu uku bhasi badala ya ku google unaanza kuomba kila
kitu tukiishi kusaidiwa we cant help ourself
wa NAOT soma hiyo audit and auditor act 2020
Mkuu,kuna watu humu mpaka unakaa unajiuliza,hawa ndugu zetu wamelelewa katika mazingira gani?yani tuvitu tudogo tudogo mpaka waombe wafanyiwe.ila ni uvivu tu hakuna kingine...
 
Mkuu,kuna watu humu mpaka unakaa unajiuliza,hawa ndugu zetu wamelelewa katika mazingira gani?yani tuvitu tudogo tudogo mpaka waombe wafanyiwe.ila ni uvivu tu hakuna kingine...
NILITUMA PICHA YA ACT LAKINI BADO MTUU ANATAKA NA NAMATERIAL KABISA
WATU NI MATOMASO SANA
 
NILITUMA PICHA YA ACT LAKINI BADO MTUU ANATAKA NA NAMATERIAL KABISA
WATU NI MATOMASO SANA
Mkuu, Kusema kweli uvivu wa watu kutotumia akili zao na kutojiamini ndo kunasababisha haya yote Hadi hata huko kwenye interview wanafeli..
Kusema kweli watu wamezoea kufaulu kwa chabo kama ilivyokuwepo mavyuoni ndo maana mitihani ya Utumishi inaonekana migumu sana.

So kitu muhimu tujiamini na tuvitumie vichwa vyeti vizuri,,,,
 
Wakuu naombeni muongozo pia kwa kada ya Afisa kilimo-NAOT, tupitiepitie wapi kujinoa? Maana hapa ni kupambania kombe, najua wapo wanaJF wenye uzoefu katika hili tusaidiane jamani.
Nakusihi sana usisahau kusoma research na kuielewa. Mwaka fulani katika usaili wa mchujo wa kada hiyo tulipewa maswali ya research tu. Wale ambao tulipitia research kwa juu juu, tulipata tabu sana.
Bila shaka kitabu hiki kitakufaa
 
Attachments

Kumbe mkuu ni bwana Shamba,, unafanyia kazi mkoa gani..?
 
20221019_143914.jpg
 
Uzi mzuri, pia na mchumi grade 2, maswali yakoje kuna watu walifanyaga usaili tutor, na taasisi zingine

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ngoja nikutungie swali la kwanza mimi la kupima uelewa kama unao au kichwa chako cheupe kabisaaa!! Ili ukijue unapoenda interview ujue zimo au hazimo

Usitazamie popote tafadhali.

SWALI

Wewe kama mtaalamu wa uchumi unayeshughulika na mambo ya Pesa unajua noti ya Shilingi elfu Kumi ya Tanzania kuna picha ya mnyama gani kwenye hiyo noti?
 
jamani maswala ya sehemu ya kusoma kila mtuu asome anapo ona yeye atatoboa
mana kila mtuu analeta lake so na utumishi wamo huku wanaweza uingiza watu chaka
au wakaongeza ugumu wa pepa

kufaulu ni uelewa na bahati ya mtuu katika kuelewa na kujielezea
 
Hivi kweli hakuna mtu ambae amewahi kufanya interview utumishi kwa kada za auditor ii humu jamani,au roho mbaya tu?
Umenikumbusha mbali sana but Ngoja niishie hapa lakin chakukukumbusha mbapana tu kivyako unaweza toboa
 
Back
Top Bottom