Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Leo afadhari kweli aisee, kuwa auditor naot wanakanda kinoma😀😀nahisi ata pass mark zao zitakuwa ndogo, ila HESLB pass mark zitakuwa juu sana maana paper yao watu wengi wameweza ku attempt
Matokeo ya auditor NAOT yanatoka lini?
 
Mliobahatika kuingia oral hongereni sana na wale ambao hawajafanikiwa msikate tamaa tunajifunza kulingana na makosa na kingine tujaribu kuomba msaada kwa wale waliofanikiwa kupita kwenye hizi interview
Wale wa oral nawashauri ombeni msaada kwa waliwahi kufanya sahili za oral kwa wale wa kada yako.
 
Back
Top Bottom