Maswali ya interview ya Utumishi huwa yanatungwa kwa namna ipi?

Maswali ya interview ya Utumishi huwa yanatungwa kwa namna ipi?

westandtogether

Senior Member
Joined
Jul 8, 2020
Posts
164
Reaction score
242
Habari wakuu,

Naomba kufahamu kwa nafasi za kazi ambapo kada tofauti mnaitwa kuomba yaani kama field za ( finance, planning, economic, engineering) mnaomba kazi moja.

Maswali ya interview huwa yanatungwa kwa namna ipi?
 
Soma na uelewe job description vizuri. Yote yanatoka hapo kwenye job description. Usinisahau utakapoketi kula asali na maziwa.
 
Back
Top Bottom