Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

Jamaa aliniagiza leo nipeleke pesa mahali. Nimerudi ananiuliza vipi usharudi ??? Nikakumbuka huu uzi nikamjibu hapana bado sijarudi. Niliwaza nitafute jibu lingine zuri zaidi ya hili nikakosa

Ungemjibu Hapana Ndo Naondoka.
 
Unaedesha baiskeli jamaa yako anakuona kisha anakuuliza nawe unaendesha baiskeli?
Hapa naendesha injini kiuno
 
upo na demu mzuri mnaenda nae guest mnakutana na washikaji wanakuuliza unaenda nae guest??? hapana nampeleka machinjioni.
 
upo na demu mzuri mnaenda nae guest mnakutana na washikaji wanakuuliza unaenda nae guest??? hapana nampeleka machinjioni.

Ha ha ha ha ha
 
Unakutana na mtu anaanza kama vile nilikuona sehem fulan ila nimesahau kiungwana tu unamjibu ni kweli uliniona mochwari
 
Mtu anakuambia naona siku hizi unapendeza sana..?unamjibu..Kwa sababu umeacha kula maharage siku hizi.
 
Jamaa: We tumbo kubwa ivyoo af unaenda chooni na icho kikopo kidogo Ivyo????
Mchizi: kwani umeambiwa naenda kutawadha tumboπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya??
Nataka kwenda kufua

hahaaaaa ukifua kazinyooshe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…