Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa aliniagiza leo nipeleke pesa mahali. Nimerudi ananiuliza vipi usharudi ??? Nikakumbuka huu uzi nikamjibu hapana bado sijarudi. Niliwaza nitafute jibu lingine zuri zaidi ya hili nikakosa
Umejikwaa, unaugulia maumivu, alafu mtu anakuuliza umeumia, taratibu unamjibu hapana nimeliumiza jiwe
8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya??
Nataka kwenda kufua